CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

si dhani kama ni busara kwa chadema kupimana nguvu na taasisi nyeti yenye dhamana kubwa kama TAKUKURU,
kama kweli chadema ni safi hakuna ubadhirifu wowote toeni tu ushirikianao lkn mkianza maneno marefu kama vile mnaonewa italeta picha kuwa kuna jambo mnaficha hamtaki lijulikane, hii sio sawa kabisa kwa chama, chama kina paswa kijisafishe sio kubaki na tuhuma zisizo na majibu yoyote.
huwezi
Wewe ni mjinga kati ya wajinga wengi waliopo kwenye Nchi hii... umemulewa Mnyika alichosema?
 
Watumishi wa umma wanapofanya kazi kisiasa ni aibu
 
Kuna mtu humu alitaka kujua CV za Mkurugenzi mkuu wa Takukuru hizi hapa;-Bachelor of Laws with honors (UDSM), Masters of law, Birmingham City University (UK) Masters in Security and Strategic Studies (NDC)Wakili mwandamizi mkuu wa Serikali,Advanced studies in Combat and military intelligence*

Hiyo cv ndio imemuongoza kugeuza takukuru kuwa chama maarufu cha siasa.
 
Back
Top Bottom