Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,183
- 3,660
CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo
Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao kundi kubwa ni wanawake
Hivi hamjui kama wenzenu mtaji wao ni wanawake?
Leo hii wanawake wanaambiwa Maneno ya kejeli nyinyi mmenga'ng'ana na mambo ambayo hata hamuwezi kushinda hiyo hiyo sera ya uchaguzi iliyopo washikeni wananchi alafu muone
Shida yenu nyinyi CDM ni wabinafsi kuliko hata ccm
Haya madini ya Bure nimewapa