Kwa hu mda fupi nikikuangalia jinsi ulivyojenga Hoja zako wewe ni mtupu kichwani
Mimi nimekuzidi Kila kitu Yani Elimu , kipato na maono ya mbali
Na ndio maana hichi nilichokisema unaona kitu Cha ajabu sana Kwa sababu kipo nje ya ufahamu wako
Ufahamu wako umeishia kusema serikali ndio ifanye Kwa kuwa inakusanya Kodi nani halijui hilo
Katika political party structure Kuna kitu kinaitwa
(Community activities and volunteer)
Hayo niliyoyasema yote yanaingia hapo hata hilo goli la mama linaingia hapo
Au mnadhani ukiangalia bajeti ya wizala ya michezo utazikuta hizo pesa za goli la mama?
kumbe ndio maana CHADEMA inafeli mmeja watoto wa shule