Okay! Kwahiyo hi taasisi yenu ya CHADEMA hairuhusiwi kununua vitu vyenye mahitaji muhimu Kwa jamii na kuwagawia wananchi?Jielimishe kidgo majukumu ya kila taasisi kabla hujachangia ukilaza wako kijana!
Sio jukumu lake na wala haikusanyi kodi na mbuzi yoyote, kadai unapopeleka mboga! Ushaambiwa kama mkeo hana gloves mpasue tu mwenyewe si una kisu cha nyanya? Ukishawapigia kura wakapata hivyo viti uje kudai kijana, vinginevyo ni kujipendekeza tu kwa wanaume wasiohusikaOkay! Kwahiyo hi taasisi yenu ya CHADEMA hairuhusiwi kununua vitu vyenye mahitaji muhimu Kwa jamii na kuwagawia wananchi?
Ila mnarusiwa tu kupigiwa kura na wananchi Ili mpate viti vingi vya Bunge na hatimaye mmpate ruzuku nyingi si ndio?
It doesn't work that way kijana.CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo
Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao kundi kubwa ni wanawake
Hivi hamjui kama wenzenu mtaji wao ni wanawake?
Leo hii wanawake wanaambiwa Maneno ya kejeli nyinyi mmenga'ng'ana na mambo ambayo hata hamuwezi kushinda hiyo hiyo sera ya uchaguzi iliyopo washikeni wananchi alafu muone
Shida yenu nyinyi CDM ni wabinafsi kuliko hata ccm
Haya madini ya Bure nimewapa
Wabongo ndio maana tunafeli sana yani, hatujui namna mambo yanavyoendeshwa na tukifaulu ujue tumekariri! Kuna mpaka wasomi wenye pHd lakini ni machawa kwa namna hii hii! Una tatizo lakini hujui ulipeleke wapi ndio maana tunatapeliwa deile, kila shida tunajua inahitaji maombi wala hatujui nani anawajibika! Wenye majukumu wakiona haya wanarelax na kujibu nyodo tu muda wote, wakijua baada ya muda utaenda kwenye mkesha kwa mwampsaIt doesn't work that way kijana.
Kama viongozi wa CDM na wanachama wake uwezo wenu wa kufikiri ndio umeishia hapo hicho Chama kitawafia mikononiSio jukumu lake na wala haikusanyi kodi na mbuzi yoyote, kadai unapopeleka mboga! Ushaambiwa kama mkeo hana gloves mpasue tu mwenyewe si una kisu cha nyanya? Ukishawapigia kura wakapata hivyo viti uje kudai kijana, vinginevyo ni kujipendekeza tu kwa wanaume wasiohusika
Kajielimishe utoe ujinga hujachelewa kijana, toka kwa shemeji mpe tekno yake, utabaki kuosha vyombo hadi lini? Unakua ujue...Kama viongozi wa CDM na wanachama wake uwezo wenu wa kufikiri ndio umeishia hapo hicho Chama kitawafia mikononi
Subirini mda si mrefu mtaona wenzenu CCM watakavyopita Kwa wananchi na kugawa mahitaji
Sijui una kiwango Gani cha elimu. Unaambiwa jielimishe kwanza.Kama viongozi wa CDM na wanachama wake uwezo wenu wa kufikiri ndio umeishia hapo hicho Chama kitawafia mikononi
Subirini mda si mrefu mtaona wenzenu CCM watakavyopita Kwa wananchi na kugawa mahitaji
acha ujinga tafta maarifa ccm ndo inatawala na kusanya kodi za watanzania waambie haoCHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo
Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao kundi kubwa ni wanawake
Hivi hamjui kama wenzenu mtaji wao ni wanawake?
Leo hii wanawake wanaambiwa Maneno ya kejeli nyinyi mmenga'ng'ana na mambo ambayo hata hamuwezi kushinda hiyo hiyo sera ya uchaguzi iliyopo washikeni wananchi alafu muone
Shida yenu nyinyi CDM ni wabinafsi kuliko hata ccm
Haya madini ya Bure nimewapa
Umetumia silaha nzito ๐น๐นSio jukumu lake na wala haikusanyi kodi na mbuzi yoyote, kadai unapopeleka mboga! Ushaambiwa kama mkeo hana gloves mpasue tu mwenyewe si una kisu cha nyanya? Ukishawapigia kura wakapata hivyo viti uje kudai kijana, vinginevyo ni kujipendekeza tu kwa wanaume wasiohusika
Hawa vijana wanaboa sana mama yangu! Siku hizi elimu ipo kwenye fingertips lkn hawaishi kutoa maboko kutwa!Umetumia silaha nzito ๐น๐น
Kwa hu mda fupi nikikuangalia jinsi ulivyojenga Hoja zako wewe ni mtupu kichwaniKajielimishe utoe ujinga hujachelewa kijana, toka kwa shemeji mpe tekno yake, utabaki kuosha vyombo hadi lini? Unakua ujue...