CHADEMA sio chama cha kuwasaliti Watanganyika kwa biskuti , kahawa na Ubwabwa

CHADEMA sio chama cha kuwasaliti Watanganyika kwa biskuti , kahawa na Ubwabwa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Sisi ni Chama makini sana.

Tunajua nini maana ya maslahi ya taifa.

Hatuwezi kuwa na fikra potevu kudanganya dunia kuwa kuna Demokrasia nchini Wakati hakuna. Zaidi ya CCM Kandamizi iliyojisahau na sasa inawakandamiza Watanzania kwa kila namna ya ufisadi.

Hatuwezi kuwa sehemu ya wasaliti wa Watanzania kwa mgongo wa Demokrasia uchwara huku Bandari za Tanganyika zikiuzwa.
 
Back
Top Bottom