Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa anawaongopea Sana watanzania. Uwongo kwangu ni sumu. KATU sitamsamehe JPM. Nimemnanga mwaka mzima na nitaendelea
Sasa chadema niwatahadharishe, tukiufunga mwaka bila tamko lenu juu ya uwongo huu, tarehe moja January naanza kushughulika na ninyi.
Sitakagi ujinga mimi.