Na wanyewe wana miliki familia 12 zinazochepusha mto Ruaha Mkuu?Lile ni genge la wahuni
Akijibu nistueNa wanyewe wana miliki familia 12 zinazochepusha mto Ruaha Mkuu?
Huwezi kuongoza hata Vicoba unalaumu wanaoongoza taasisi kubwa kama vyama vya siasa?Ukweli ni kwamba bado hatuna vyama vya upinzani makini, viongozi wamevigeuza vyama vyao kama "sacos" wanapiga pesa tu!!!
Migogoro mwanzo mwisho, mfano chadema wamegeuka kuwa warina asali, NCCR vurugu wanagombea uongozi vurugu tupu!!
wanacho waza wao ni matumbo yao tu...wanaendekeza njaaa...........
afadhali kidogo ACT.
Siyo kila chama ni taasisi kubwa. Sitaki kutaja majina ya vyama, lkn bila shaka hata wewe unavifahamu vyama ambavyo hata kwenye majiji havionekani.taasisi kubwa kama vyama vya siasa?
Niko kwenye hatua za Mwisho ya kusajili chama cha siasa kiitwacho: THE MOVEMENTS FOR LIBERATION AND DEMOCRATIC CHANGE( MLDC )hiki chama kitakuwa mkombozi wa fikra ,kujitambaua (self determination )na uhuru wa kweli kuwa na fursa sawa kwa wote , fursa za ajira, fursa za elimu ,fursa za biashara na ulinzi wa Rasilimali za Taifa ili kila mmoja anufaike na keki ya Taifa hili , siyo kundila la watu wachache .....Sipendi uwongo ktk maisha yangu. Chadema msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa anawaongopea Sana watanzania. Uwongo kwangu ni sumu. KATU sitamsamehe JPM. Nimemnanga mwaka mzima na nitaendelea
Sasa chadema niwatahadharishe, tukiufunga mwaka bila tamko lenu juu ya uwongo huu, tarehe moja January naanza kushughulika na ninyi.
Sitakagi ujinga mimi.
Ngoja tukusubiri tuone kama utaleta chama cha upinzani ama utaongeza. idadi ya ccm B.Niko kwenye hatua za Mwisho ya kusajili chama cha siasa kiitwacho: THE MOVEMENTS FOR LIBERATION AND DEMOCRATIC CHANGE( MLDC )hiki chama kitakuwa mkombozi wa fikra ,kujitambaua (self determination )na uhuru wa kweli kuwa na fursa sawa kwa wote , fursa za ajira, fursa za elimu ,fursa za biashara na ulinzi wa Rasilimali za Taifa ili kila mmoja anufaike na keki ya Taifa hili , siyo kundila la watu wachache .....
Vipi husu Zitto Kabwe naye analamba?Mbowe keshauza haki ya 'uzaliwa wa kwanza' kwa buyu la asali!. Analamba polepole.
Mkuu 'wasikuchokonoe' kwahyo huwa unachokonelewa?Sipendi uwongo ktk maisha yangu. Chadema msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa anawaongopea Sana watanzania. Uwongo kwangu ni sumu. KATU sitamsamehe JPM. Nimemnanga mwaka mzima na nitaendelea
Sasa chadema niwatahadharishe, tukiufunga mwaka bila tamko lenu juu ya uwongo huu, tarehe moja January naanza kushughulika na ninyi.
Sitakagi ujinga mimi.
Kwani wewe ndiyo chadema? Mbona povu? Wenye chama naowafahamu wamekaa kimya sembuse wewe pangupakavu?Labda unaji-overrate sana, inawezekana pia siajabu wewe siyo muhimu kiihivyo kama unavyojidhania? Hizi SM kama JF zinatudanganya sana wakati mwingine kwa kujiona maarufu ambapo kiuhalisia siyo kweli, …
Elewa mantiki na muktadha wa sentensi mkuiMkuu 'wasikuchokonoe' kwahyo huwa unachokonelewa?
Sipendi uwongo ktk maisha yangu. Chadema msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa anawaongopea Sana watanzania. Uwongo kwangu ni sumu. KATU sitamsamehe JPM. Nimemnanga mwaka mzima na nitaendelea
Sasa chadema niwatahadharishe, tukiufunga mwaka bila tamko lenu juu ya uwongo huu, tarehe moja January naanza kushughulika na ninyi.
Sitakagi ujinga mimi.
Moja ya makosa makubwa aliwahi kufanya mbowe ktk ulingo wa siasa ni hili. Historia itamhukumu.Kimsingi Mbowe alipaswa kukaa pembeni mara baada ya mission Lowassa kugombea urais kwa njia ya mkato