MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328
Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.