MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Nyumbu detected on the comment sectionMbona wabunge wa COVID-19 walikuwa wabunge bila kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa??
MjibuNyumbu detected on the comment section
Matusi ni sera rasmi ya CHADEMA kwa sasa.Mleta Uzi kavuta mjani tena ule mbichi ndo kaja kutoa Moshi mchafu kupitia JF
Kwani chama cha majambazi huwa kinajali katiba?Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
Ni chadema ipi iliyosema hiyo kauli uliyoileta? Hatakama ccm ni mara ngapi huvunja katiba kwa matakwa yao ya kishenzi? Ccm hawajajalipo sheria hatasiku moja.Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
Ukitaka kuona upuuzi wa katiba soma hicho kipengele sijui ibara. Kulikuwa na ulazima gani kusema Rais atateua mtu kutoka kwenye chama chenye wabunge wengi? Kwa hiyo ikitokea Rais amechaguliwa ila ana wabunge wachache wa chama chake, atalazimika kuteua mtu wa chama kingine awe WM kwa kuwa sheria inasema hivyo? Mwisho wa siku kinachotakiwa kuangaliwa si ni kura za wabunge kumchagua huyo WM?Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
Ww utakuwa ni bonge la dunya, cdm ni vikao, je ni vikao vipi vya cdm vilivyosema serekali inataka Lisu awe waziri mkuu? Unabeba maono ya wahuni huko mitandaoni ndio unasema cdm? Tenganisha maoni ya watu mitandaoni na maaumuzi ya chama.Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
mashahidi wa utetezzi upande wa Lisu ni hawa wafuataoSiku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
Ninasoma majibu naishia kusikitika sana. Uwezo wenu wa kiakili ni mdogo hadi huzuni.mashahidi wa utetezzi upande wa Lisu ni hawa wafuatao
1. SAMIA SULUHU HASSAN (MUUAJI WA WATANGANYIKA hapo 2025)
2. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA
3. PHILIP ISIDORY MPANGO
4. KAMILIUS WAMBURA
5. MAFWELE
7.KINGAI
Nk. hawa wanapaswa kuja kuthibitisha LISU alipanga na kutenda uhaini wapi?
acha kuweweseka chawa mweusi wewe
Unaulinganisha na ule wa babu WASIRA?Ninasoma majibu naishia kusikitika sana. Uwezo wenu wa kiakili ni mdogo hadi huzuni.
Weka hapa official Chadema statement inayosema serikali inamuomba Lissu awe Waziri Mkuu,siyo mkifirana huko mnakimbilia kuipakazia Chadema maujinga yenu. Akili matope dizaini hiyo ziko huko CCM tu wapumbavu wakubwa nyieSiku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.