CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Umemsahau Samuya anavyobwatuka kama mbwa koko?Matusi ni sera rasmi ya CHADEMA kwa sasa.
Na akishavuta skanka anajisfia kuwa yeye ni mbwatukaji tuMleta Uzi kavuta mjani tena ule mbichi ndo kaja kutoa Moshi mchafu kupitia JF
Ukija na hoja za kimalaya lazima ujibiwe kihuni tu.Matusi ni sera rasmi ya CHADEMA kwa sasa.
chawa akili ya kufikiri unaitoa wapi? Wewe uwezo wako ni kupiga pambio za kumsifia bosi upate kulaNinasoma majibu naishia kusikitika sana. Uwezo wenu wa kiakili ni mdogo hadi huzuni.
Huyo kenge hata wewe ukiweka maoni yako humu anasema ni msimamo wa ChademaWw utakuwa ni bonge la dunya, cdm ni vikao, je ni vikao vipi vya cdm vilivyosema serekali inataka Lisu awe waziri mkuu? Unabeba maono ya wahuni huko mitandaoni ndio unasema cdm? Tenganisha maoni ya watu mitandaoni na maaumuzi ya chama.
Hakuna mwanacdm anayejitambua anataka serekali ya umoja maana mtindo huo umetumika kupumbaza vyama vya kweli vya upinzani. Na mifano halisi ipo.
Mtajua wenye we hata mkwomba. awe rahisi!Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
Wewe ni tahira yaani ubongo mtindi kama ile yogurt iliyooza. Kuna katiba inaruhusu kuiba kura? Kuna katiba inayozuia watu kuandamana?Nyumbu detected on the comment section
Nina kukumbushia tu, Tanzania ya leo haendi na katiba, mwenye nguvu asombe vyoooote.Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
Umetumia akili na muda mkubwa kbs kuelimisha mjinga sijui atakulipa nnUkitaka kuona upuuzi wa katiba soma hicho kipengele sijui ibara. Kulikuwa na ulazima gani kusema Rais atateua mtu kutoka kwenye chama chenye wabunge wengi? Kwa hiyo ikitokea Rais amechaguliwa ila ana wabunge wachache wa chama chake, atalazimika kuteua mtu wa chama kingine awe WM kwa kuwa sheria inasema hivyo? Mwisho wa siku kinachotakiwa kuangaliwa si ni kura za wabunge kumchagua huyo WM?
Pia hoja kwamba sheria za sasa zinasema hivi au vile kwa hiyo haiwezekani wala haina mashiko. Hao wanaopeleka hayo mapendekezo wanaweza kuwa wanaahidi kufanyia marekebisho ya haraka ya sheria kama sehemu ya maridhiano. Tumeona hayo yakifanyika nchi nyingine. Ila mwisho wa siku huku ni kutapatapa tu kwa CCM na hamtampata Lissu kwa style hiyo. Anaijua historia na anajua nini kiliwapata kina Morgan Tsvangirai.
Kwenye nchi za kiafrika lolote linawezekana ,mfano Kuna wabunge WA viti maalum WA chauma unajua wamepatkanaje niSiku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
kweli chadema ni malofa,Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila kujua kuwa Warioba alitengeneza rasimu tu ya katiba. Mbaya zaidi ni wanaCHADEMA wachache sana wanaoweza kueleza wanataka kifungu gani kiondolewe au kiboreshwe kwenye katiba. Nyumbu wengi utawasikia tunataka serikali tatu. Yaani ujinga mtupu.
View: https://x.com/i/status/2024227579448754328Katiba kwenye ibara ya 51(2) imeeleza sifa za mtu kuchaguliwa kuwa waziri mkuu ambazo Lissu hana.
51 (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au, kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye
hatashika madaraka hayo mpaka kwanza uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi.
Komredi hawa Malofa bado ni watanzania wenzetu kwahiyo tusichoke kuwaelimisha humu mitandaoni.kweli chadema ni malofa,
dah
hiyo kazi ni muhimu na tutaifanya kwa bidii sana hadi waondokane na ulofa wa katiba yetu ambayo iko wazi kwa kila mTanzania.Komredi hawa Malofa bado ni watanzania wenzetu kwahiyo tusichoke kuwaelimisha humu mitandaoni.