Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Kweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?Maandamano yana maslahi mapana ya Taifa na kwa wananchi kuliko huo msiba,
Note:
Bwana Yesu aliwahi ponya mtu siku ya Sabato,kitu ambacho kilikua ni mwiko mkubwa katika tamaduni ya Kiyahudi
Ila kwa sababu alichokifanya kilikua kina maslahi mapana kwa Raia hakuacha kufanya hivyo maadamu shida zilijitokeza!
Mwisho wa kunukuu!
Sio kila unachoona kwako hakina faida na kwa wengine ni hivyo hivyoKweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?
Sasa mkaandamane muone, tarehe 15 si mbaliHuo ni msiba wa familia ya lowasa, ccm na serikali sio taifa
Sasa mkaandamane muone, tarehe 15 si mbaliHuo ni msiba wa familia ya lowasa, ccm na serikali sio taifa
Pumbavu!Taifa lipo katika msiba,huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano je mpo sahihi.
Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa.
TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO
Kweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?
Mbona unajitisha mwenyewe?Umekaza hadi kiuno.Sasa mkaandamane muone, tarehe 15 si mbali
Kiusalama hawapo sahihi kivipi??Taifa lipo katika msiba,huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano je mpo sahihi.
Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa.
TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO
Hakuna Kanuni za usalama hapo,Msiba hauna kadi,hivyo mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi endelea na shughuli wakati kuna msiba.Hasa huu msiba siyo wa Wana Monduli peke yao bali ni msiba wa nchi nzima.Taifa lipo katika msiba,huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano je mpo sahihi.
Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa.
TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO
Hakuna maslahi hapo kwani siku zingine maandamano hayawezi fanyika?Maandamano yana maslahi mapana ya Taifa na kwa wananchi kuliko huo msiba,
Note:
Bwana Yesu aliwahi ponya mtu siku ya Sabato,kitu ambacho kilikua ni mwiko mkubwa katika tamaduni ya Kiyahudi
Ila kwa sababu alichokifanya kilikua kina maslahi mapana kwa Raia hakuacha kufanya hivyo maadamu shida zilijitokeza!
Mwisho wa kunukuu!
Je Mbowe au Mnyika mmoja kati yao akifariki,maandamano yataendelea?Mleta mada huna akili. Hivi ikitokea na kiongozi mwingine kafa leo na baada ya wiki kafa mwingine nchi itasimama? Hivi huko viwandani watu hawafanyi kazi kisa maombolezo? Inaonekana hata tendon la ndoa umesimama kupisha maombolezo.
Waziri Mkuu Mstafu wewe cheo hicho hutakipata mpaka mwisho wa dunia.Huo ni msiba wa familia ya lowasa, ccm na serikali sio taifa