CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

Jua kwa kanuni, za kiusalama hawako sahihi, si bahatishi bali najua nalozungumza na majibu utapata tu tarehe 15
 
Sasa mkaandamane muone, tarehe 15 si mbali
Usitishe watu sema tutaona busara na hekima za viongozi wa CHADEMA katika tukio hilo.
Ukiuliza swali la kijinga utapokea jibu la kiuendawazimu unaokera.Kwa nini hakuchagua siku ingine ndiyo afe?
Kifo hakina ratiba ndugu yangu hata wewe unaweza kufa muda wowote haijalishi wewe ni nani,ulikuwa nani na utakuwa nani baadaye.
 
Usitishe watu sema tutaona busara na hekima za viongozi wa CHADEMA katika tukio hilo.
Hatutishi watu, japo umejibu kwa kutumia busara, lakini wakumbushe CHADEMA tu ulinzi katika dunia hii ni Secret ,si kila kitu kiwekwe wazi, ila kuna vipindi nchi ikiwa yapitia kuna vitu razima visitishwe.
Maandamano ni haki yao kikatiba lakini usalama wa nchi ni muhimu.
 
Hakuna maandamano tarehe 15th na pia CHADEMA tunaomba mtuondolee uraia wenu.
Mda si mrefu barua na katazo la Maandamano linatoka
 
Kweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?
Maslai ndio nini?....yaani wewe hata kuandika tu hujui alafu unaanzisha uzi.
Kwa taarifa yako aliekufa hayupo ni nyinyi mnauzungusha tu mwili wake huku na kule....na haipendezi...Chadema waendelee tu...
 
Dawa Yao ndogo vyombo vyote vya habari vyote visuse kuandika au kutangaza habari yeyote ya hayo maandamano
 
Taifa lipo katika msiba,huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano je mpo sahihi.
Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa.

TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO
Kwa hoja hiii wewe lazima utakuwa ni Kabichi la January ya kila mwaka.
 
Maandamano yana maslahi mapana ya Taifa na kwa wananchi kuliko huo msiba,

Note: Bwana Yesu aliwahi ponya mtu siku ya Sabato,kitu ambacho kilikua ni mwiko mkubwa katika tamaduni ya Kiyahudi.

Ila kwa sababu alichokifanya kilikua kina maslahi mapana kwa Raia hakuacha kufanya hivyo maadamu shida zilijitokeza!

Mwisho wa kunukuu!
Hatutegemei mtu km ww uwe na akili
 
Back
Top Bottom