Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Tupe kwanza maslahi yatokanayo na kushiriki kuzika nasi tutakupa maslahi ya maandamano? Unaenda monduli kuzika mtu uliyeshiriki kumtukana na kumkashifu mwaka 2015? Leo amekuwa bora kwako kuliko maandamano ya kutetea walio hai?Kweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?