CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

Kweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?
Tupe kwanza maslahi yatokanayo na kushiriki kuzika nasi tutakupa maslahi ya maandamano? Unaenda monduli kuzika mtu uliyeshiriki kumtukana na kumkashifu mwaka 2015? Leo amekuwa bora kwako kuliko maandamano ya kutetea walio hai?
 
Mleta mada huna akili. Hivi ikitokea na kiongozi mwingine kafa leo na baada ya wiki kafa mwingine nchi itasimama? Hivi huko viwandani watu hawafanyi kazi kisa maombolezo? Inaonekana hata tendon la ndoa umesimama kupisha maombolezo.
We ndio huna akili bora kima. Andamaneni hata kila siku nyie nyumbu wa Ngorongoro. Hakuna mijitu mijinga km Chadomo.
 
Mbona unajitisha mwenyewe?Umekaza hadi kiuno.
Mshukuruni Samia nyie ngedere, mlikuwa wapi kipindi cha Magu. Sazingine unaona kabisa Magu ndio Rais. Haya mapumbavu hayapendagi kuona nchi ikitulia. Nchi hii inahitaji marais km Kagame na Museven.
 
Kweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?

Kupata katiba mpya ya taifa, kuhakikisha serekali inawajibika ipasavyo kwa umma kwenye ugumu wa maisha, kuhakikisha tunakuwa na chaguzi za haki. Kama ww umeona ni jambo la maana sana kushinda unakula wali hapo kwenye msiba wa Lowassa, endelea na hakuna mwenye tatizo na ww.
 
Mshukuruni Samia nyie ngedere, mlikuwa wapi kipindi cha Magu. Sazingine unaona kabisa Magu ndio Rais. Haya mapumbavu hayapendagi kuona nchi ikitulia. Nchi hii inahitaji marais km Kagame na Museven.
Wewe joga utabaki nyumbani unachambua matembele huku unakoroga uji.
 
Mshukuruni Samia nyie ngedere, mlikuwa wapi kipindi cha Magu. Sazingine unaona kabisa Magu ndio Rais. Haya mapumbavu hayapendagi kuona nchi ikitulia. Nchi hii inahitaji marais km Kagame na Museven.

Unaongelea walevi wa madaraka, nchi kutulia sio kuburuzwa. Huyo Magu Yuko wapi leo?
 
Ni maandamano ya AMANI ..... baada ya hapo tunaenda kuzika. Na siku 5 za maombolezo zinaisha leo ....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…