CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

Hawa chadema ni majambazi,chama kizuri cha upizani ni ACT hawana ukabila wala udini..ila chadema ukabila na udini ndio msingi wao
 
Siyo msiba wa Kitaifa ni Msiba wa Kiserikali.

#
 
Hapana hayataendelea. Je, unafikiri Samia au nchimbi mmoja wao akifariki, ukute ccm wamepanga maandamano yao ya kusifu na kuabudu yataendelea?
Na hata CCM hawawezi andamana kama Mbowe na Mnyika wamefariki.THANKS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…