CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanabodi.

CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka.

Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo.

Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
 
Ewaaaaaaa! Mleta mada una akili wewe!!!.

Ngoja nianze mafunzo ya kutengeneza mabomu ya petroli mapema.
 
Mkuu! Unataka bavicha wajifiche uvunguni mwa vitanda tena?
 
Maandamano ni fujo kwanini watu wasikae chini na kuxungumza maana wahalifu watatumia hyo chance
 
Wataandamana humu JF na wengine watakuwa kule Tweeter na Facebook...hiyo siku watatusumbua kweli humu...
 
wataandamana humu JF na wengine watakuwa kule Tweeter na Facebook...hiyo siku watatusumbua kweli humu...
Barabarani je Kupambana na polisi?
 
Wewe mzee bado unajitoa ufahamu siyo. Umekimbia lile jukwaa lako la historia unakoelezea wapigania uhuru wako wa kiislam unakuja kuanzisha thread za kitoto huko ehe..
 
20210629_234046.jpg
 
Back
Top Bottom