CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

Chadema wameshamuandikia barua samia ili wazungumze naye lakini hadi sasa hajawajibu, labda haoni umuhimu wa kuwajibu.

Maandamano ni fujo kwanini watu wasikae chini na kuxungumza maana wahalifu watatumia hyo chance
 
Maandamano ni fujo kwanini watu wasikae chini na kuxungumza maana wahalifu watatumia hyo chance
Hakuna mazungumzo tena, enough is enough. Wenzetu wapo hapa mpakani tu. Ukivuka mto ruvuma tunaigia kupitia Mkapa bridge tunarudi nao tuondoe huu ubabaishaji.
 
Huyu ritz nadhani ni basha.wa system. Anadai kufanyiwa kweli. Ngoja tutangulize jelly.
Moja ya silaha kubwa ya pro-Chadema JF ni matusi.
 
Mwacheni huyu mama afanyie kazi ajenda zake, hii katiba mngekuwa na uharaka nayo mngeidai kipindi cha magufuli. Mnamwonea huyu mama kwa sababu ni mwanamke na anapenda kutumia approach za kistaarabu, mshawishini alitekeleze hili kwenye awamu inayokuja kwa sasa sioni kama yuko kwenye nafasi ya kushughulika na hili swala la katiba mpya.
 
Umeshazeeka ww, ndio maana unatumia mbinu za kizee za kuprovoke watu ukidhani utapoteza lengo. Kile kipindi chenu cha kutamba kama enzi za JK kimepita, saa hii baki ukilea wajukuu na kufukia uharo wa bata hapo Msoga msipate viroboto.

Ni hivi, katiba mpya itapatikana taka msitake, hivyo cheza mind games zote ujuazo lakini habari ndiyo hiyo.
 
Mwacheni huyu mama afanyie kazi ajenda zake, hii katiba mngekuwa na uharaka nayo mngeidai kipindi cha magufuli. Mnamwonea huyu mama kwa sababu ni mwanamke na anapenda kutumia approach za kistaarabu, mshawishini alitekeleze hili kwenye awamu inayokuja.......kwa sasa sioni kama yuko kwenye nafasi ya kushughulika na hili swala la katiba mpya......

Katiba mpya ni lazima, tumdai Magufuli kwani ilikuwa yake?
 
Katiba mpya ni lazima, tumdai Magufuli kwani ilikuwa yake?
Kipindi chote cha magu chadema walikuwa uvunguni pamoja na kuporwa uchaguzi, leo hii ndo wanaibuka na katiba kisa mama kaingia......hizi nidhamu za uoga zitaisha lini? au ndo unafiki wa wabongo....
 
Lakini nimeamini baazi ya Watanzania ni watu wa ajabu Sana Yani hawana future ya taifa letu linatakiwa liweje.Mtu anajiangalia tu yeye kisa ana cheo ambacho ni Cha muda tu.

Ndugu zangu kumbukeni tunahitaji katiba mpya kwa ajili ya mstakabali wa Taifa letu na sio kwa ajili ya vyama vya siasa .Vyama vitakufa lakini nchi itakuwepo tu siku zote.Hivo tuipende nchi yetu na sio Vyama vyetu.
 
Wanabodi.

Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
Wee jamaa Jiwe alikupeleka likizo ila unerudi na akili ujazo wa kizibo
 
E4wOBAeWYAMJY57.jpg
 
Chadema ilishakuwa kagenge ka wahuni fulani hivi tu. Kuna mmoja aliitisha maandamano halafu yeye mwenyewe na waandamanaji wakaingia mitini. Akawaambia wafuasi wake watangulie kwenda mabarabarani wakachicken, alipoona hivyo naye akasepa kumfuata shoga yake rob amster ughaibuni.
 
Kipindi chote cha magu chadema walikuwa uvunguni pamoja na kuporwa uchaguzi, leo hii ndo wanaibuka na katiba kisa mama kaingia......hizi nidhamu za uoga zitaisha lini? au ndo unafiki wa wabongo....

Kwa taarifa yako watu hawakuwa waoga kipindi cha Magu ndio maana aliteka watu, kubambikia kesi na hata kuua. Kilichokuwa kinafanyika ni kumtafutia mbinu yake, na kwenye ile kampeni ndio alijua uhalisia. Hata akina Mugabe, Elbashir nk walitamba muda mrefu, lakini kilichowatokea unakijua. Yule boya tulikuwa tunajua hana muda maana ivumayo haidumu. Huoni katoka kwenye game na watu wanalisongesha kama kawaida?

Mimi nilidhani mlishinda uchaguzi kumbe mlipora? Na bado, mbona mtanyoosha tu maelezo? Kinachofanyika kwa huyu mama ni madai halali na sio hisani. Uzuri mko madarakani kwa kupora uchaguzi, hivyo mkijambishwa lazima mpanic. Fungulieni vyombo vya dola tu, lakini katiba mpya ni takwa la halali kisheria na wakati.
 
Lema, rudi Tanzania tufanye maandamano nchi nzima.
 
Chadema ilishakuwa kagenge ka wahuni fulani hivi tu. Kuna mmoja aliitisha maandamano halafu yeye mwenyewe na waandamanaji wakaingia mitini. Akawaambia wafuasi wake watangulie kwenda mabarabarani wakachicken, alipoona hivyo naye akasepa kumfuata shoga yake rob amster ughaibuni.
Ilitakiwa vyombo vya dola vikae pembeni mje wanaccm mtetee ushindi wenu hapo ndio mngefurahi. Na kama mnajiamini hata sasa jitokezeni dhidi ya Cdm bila polisi msikie mziki wake.
 
Wanabodi.

Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
Daaah nmecheka eti unaomba Polis wastumie Nguvu kubwa Nenda ndo utajua hujui
 
Back
Top Bottom