LordMasele III
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 288
- 251
What did you say!?😳😳😳, Did you say idiot...hell no😅😅😅. Mleta uzi una kaziYaan umejificha alafu unapayuka.
Idio..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What did you say!?😳😳😳, Did you say idiot...hell no😅😅😅. Mleta uzi una kaziYaan umejificha alafu unapayuka.
Idio..
Dhubutu labda kuandamana Face book, instagram, JF na twtter. Physically hawawezi kabisa maana show yake itakuwa kubwa sana.Wanabodi.
Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
Mkuu chadema ndo walikuja na madai kwamba uchaguzi haukuwa wa haki, au umesahau? katiba mpya haidaiwi kwa fujo........so long as mchakato ulianza kwa amani, vivyo hivyo utatamatika kwa amani.Kwa taarifa yako watu hawakuwa waoga kipindi cha Magu ndio maana aliteka watu, kubambikia kesi na hata kuua. Kilichokuwa kinafanyika ni kumtafutia mbinu yake, na kwenye ile kampeni ndio alijua uhalisia...
Mbona mimi nipo JF tawala zote.Mkuu Ritz mimi napenda kuuliza tu,kwa sisi wakongwe hapa JF tulishangazwa sana na ukimya wako baada ya utawala wa JK ukiwa kama kada mtiifu wa CCM,iweje leo uibuke gafla kwa hii awamu ya Sita? Au tuamini kinachosemwa kuwa kwako kama siyo wa Dini yako basi huyo hana maana kwako[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu chadema ndo walikuja na madai kwamba uchaguzi haukuwa wa haki, au umesahau? katiba mpya haidaiwi kwa fujo........so long as mchakato ulianza kwa amani, vivyo hivyo utatamatika kwa amani....
Wanabodi.
Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
Kama hawana support kubwa ya watu walishindaje viti karibia vyote vya ubunge, acha masihara ndugu.....Umeona umemwaga mchele ndio unajifanya kuweka sawa, uchaguzi kuporwa tumeona kwa macho yetu na wala hatuhadithiwi. Hakuna anayedai katiba kwa fujo, bali inadaiwa kwa msisitizo...
Mziki upi tena mkuu😀😀😀Ilitakiwa vyombo vya dola vikae pembeni mje wanaccm mtetee ushindi wenu hapo ndio mngefurahi. Na kama mnajiamini hata sasa jitokezeni dhidi ya Cdm bila polisi msikie mziki wake.
Kinachowauma ni Rais kutoongea nao hadi leo, they think they are special, they are notMaandamano ni fujo kwanini watu wasikae chini na kuxungumza maana wahalifu watatumia hyo chance
Afande Muloto arejeshwe kazini haraka tumalizane nao.Wanabodi.
Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
Unaomba polisi wasitumie nguvu kubwa, ila uko sawa wakitumia nguvu ya kati?Wanabodi.
Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
Kama hawana support kubwa ya watu walishindaje viti karibia vyote vya ubunge, acha masihara ndugu.....
Kinachowauma ni Rais kutoongea nao hadi leo, they think they are special, they are not
Afande Muloto arejeshwe kazini haraka tumalizane nao.
Ndio ujinga mtupu. Katiba itakuja kwa wakati muafaka. Kuvurugana kama tumechelewa sana sio kweli. Wanasiasa ndio wana haraka zaoKamanda, Maandamano ya kudai katiba ni ujinga?