Huyu ritz nadhani ni basha.wa system. Anadai kufanyiwa kweli. Ngoja tutangulize jelly.Hivi ni lini CHADEMA walisema wanahitaji ushauri toka kwako Ritz ama maoni? Ama kumbusho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandamano ni fujo kwanini watu wasikae chini na kuxungumza maana wahalifu watatumia hyo chance
Hakuna mazungumzo tena, enough is enough. Wenzetu wapo hapa mpakani tu. Ukivuka mto ruvuma tunaigia kupitia Mkapa bridge tunarudi nao tuondoe huu ubabaishaji.Maandamano ni fujo kwanini watu wasikae chini na kuxungumza maana wahalifu watatumia hyo chance
Mzee mzima hovyo. Busara zero.
Mwacheni huyu mama afanyie kazi ajenda zake, hii katiba mngekuwa na uharaka nayo mngeidai kipindi cha magufuli. Mnamwonea huyu mama kwa sababu ni mwanamke na anapenda kutumia approach za kistaarabu, mshawishini alitekeleze hili kwenye awamu inayokuja.......kwa sasa sioni kama yuko kwenye nafasi ya kushughulika na hili swala la katiba mpya......
Kipindi chote cha magu chadema walikuwa uvunguni pamoja na kuporwa uchaguzi, leo hii ndo wanaibuka na katiba kisa mama kaingia......hizi nidhamu za uoga zitaisha lini? au ndo unafiki wa wabongo....Katiba mpya ni lazima, tumdai Magufuli kwani ilikuwa yake?
Wee jamaa Jiwe alikupeleka likizo ila unerudi na akili ujazo wa kiziboWanabodi.
Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.
Mshana acha masikhara . Hii picha ya kutisha aisee
Kipindi chote cha magu chadema walikuwa uvunguni pamoja na kuporwa uchaguzi, leo hii ndo wanaibuka na katiba kisa mama kaingia......hizi nidhamu za uoga zitaisha lini? au ndo unafiki wa wabongo....
Ilitakiwa vyombo vya dola vikae pembeni mje wanaccm mtetee ushindi wenu hapo ndio mngefurahi. Na kama mnajiamini hata sasa jitokezeni dhidi ya Cdm bila polisi msikie mziki wake.Chadema ilishakuwa kagenge ka wahuni fulani hivi tu. Kuna mmoja aliitisha maandamano halafu yeye mwenyewe na waandamanaji wakaingia mitini. Akawaambia wafuasi wake watangulie kwenda mabarabarani wakachicken, alipoona hivyo naye akasepa kumfuata shoga yake rob amster ughaibuni.
Lema, rudi Tanzania tufanye maandamano nchi nzima.
Daaah nmecheka eti unaomba Polis wastumie Nguvu kubwa Nenda ndo utajua hujuiWanabodi.
Chadema tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe ule ule tunaomba polisi wasitumie nguvu kubwa.