Uchaguzi 2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

Chadema watu hakuna kwenye mikutano ata nyie wenyewe mnalijua hilo ndio maana kutwa kupost video na picha za ccm.lakini ata hivyo si uwa hamtazami TBCccm leo imekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulitizama TBCCM na tumeona live,jiwe aliambiwa HATUKUTAKII!!!
Hapo mjini Bukoba.

Jamaa alikuwa ametafuta hela za tetemeko na za rambirambi,ndiyo kisa cha kukataliwa.

Kukataliwa kunaumaaa!!!!
 
ITV wao niliwaona siku moja wanaunganisha maccm wakiwa wanashangilia wasanii na anachoongea Magufuli ili ionekane kuwa anayeshangiliwa ni Magufuli. Kwakuwa nilikuwepo live kwenye huo mkutano nikaishia kuwafananisha na mbwa mwitu tuu!
 
Hiyo television ni ya CCM mkuu usitarajie chochote cha maana hapo
 
Ni kusaga huyo, utakuta wameshapewa hela ya kutoonyesha habari za cdm.
 
Kumbe mnaangaliaga TBC!?.
hapa ndo unapoonekana utanzania wetu halisi.misimamo na hamasa za wanamitandao ni tofauti na jinsi walivyo kwenye maisha yao ya kilasiku,ni walaini zaidi ya keki ya mayai.

Nilikuwa kwenye utafiti...

Kwa hiyo, leo nimetazama kuona walivyobadilika baada ya kulialia sana baada ya kutengwa na CHADEMA...

Unfortunately, bado wameamua kuwa wajinga. Wameamua kuwa unethical & unprofessional....

In reality Mimi siyo mpenzi wala mtazamaji wa TV hii inayomtukuza mtu mmoja tu, Magufuli...
 
Tibisi ukweli na uhakika, mkuu kauchumi ka bundle kakiyumba tibisi inaangaliwa tu.......

Ni ngumu tibisi kufanya kama mnavyotaka hasa huku africa, ni chadema wenyewe ktk mazingira yaliyopo kuboresha idara ya habari...... Itapunguza hizi kelele
 
Sio tbc pekee imekua kawaida kwa TV nyingi kufanya ivyo, hawatendi haki kwakweli.
 

Mimi kama mimi sikuafiki sana Mbowe kwenda kupatana na TBC,na hata kama wangeopatana angewaambia kuwa wamesameheana, lakini hawako tayari TBC watangaze taarifa zao.
 
Nilikuwa nimpe kura yangu Magufuli.....
lkn nimegundua kwamba Lissu ndio jiwe kamili
 
Acheni unafki, lini mmeanza kuangalia TBC? si huwa mnaiita tbccm
Sasa mheshimiwa, unataka watu wakiangalia TBC wawe wanakujulisha ili ujue kwamba sasa wameanza kuangalia TBCCM,??
Weka namba yako ya simu hapa, kesho nikiangalia taarifa ya habari ya TBCCM nakujulisha kwa sms.
 
Pembe la ngo'mbe halifichiki!

Ni ujinga kuanzisha malumbano na Vyombo vya habari!

Sasa shida yenu ni nini?
Wakiripoti robo ya mahudhurio ya watu mkutanoni ndio imekuwa hivyo sasa?
Hii ni Sawa na wanandondi mmoja katandikwa ya sikioni Hadi damu inamtoka, halafu aliyepigwa Anasema hajapigwa!
Hicho ndicho mnabishania na TBC,

Chadema wote mnajua mnajaza nyomi, TBC Anasema hamjazi?

Baking na ukweli wenu, shida iko wapi? Au ni kweli kwamba hamjazi?
 
Walishamnunua siku nyingi huyo sasa hivi anatumika ili kutimiza kile maccm wanachokitaka toka kwake.

 
Sijaona shida kwa ITV, Mabele Makubi anafanya vizuri sana kwenye mikutano ya CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…