Uchaguzi 2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!



Naunga mkono hoja.

Kwa kuongeza tu, wafanyakazi wa TBC TV walioko field huwa wanachukua matukio yote kama yalivyo ila habari huhaririwa kishetani 100% ikifika srudio na wanaofanya hiyo kazi sio jopo la tbc peke yao...kuna external force (amri kutoka juu) ili kuaminisha watazamaji kuwa wanachokiona ndivyo kilivyo.

Wasichojua ni kuwa technology haidanganyi.

Kabla hawajarusha taarifa ya habari 68% ya watanzania walishaona through mobile phones na YouTube channels na sana share mpaka kesho yake 89% ya watanzania wameshaona kila kitu, so hao TBC ndio wanaonekana wajinga kwa kupotosha habari.

Zama za kudanganyana zilishasahaulika kitambo sana.
Huu uhariri ndio unaotakiwa kumfurahisha mgombea wa chama chao.

Endapo Lissu/CHADEMA watashinda uchaguzi huu Dr Ryoba ataficha wapi USO wake?


This is what they call DICTATORSHIP MENTALITY ya CCM leaders.

Ila wajue tu hakuna marefu yasiyo na mwisho.

Mungu sio kuwa haoni vilio vya watu wake ila the right time is coming soon.
 
Kwenye hili sioni tofauti kati ya TBC, ITV na AZAM TV wote wana ujinga ujinga fulani hivi. Yaani ukisikiliza huwezi kuelewa Lissu anaongea nini katika muktadha gani. Ndio tumefikia hapo kila mtu hofu hofu hofu.
 
Ukitembelea nyumba ukakuta wanatazama TBC ujue hiyo familia hakuna anayejitambua.

Kwani hamjui kama tbccm inakula sana umeme ?
 
Ayo. Lazima.awe RAS muda wowote.
 
Tundu Lissu ndiye tunayempa nchi hiyo tarehe 28. So hata wafanyaje, mwendo ni huo. Jiwe out.
 
Maamuzi ya kipindi kile ya kuwafukuza Tbc mkutanoni yalikua mazuri saaaaana nashangaa sijui Mbowe alitoka wapi tena akaleta busara zake za kikuda mara naona anapiga picha na boss wa Tbc na kusema ooh tumeyamaliza sijui nini bla bla blah kibao.
Nimecheka.mno.Mkuu.unapenda.sana.Shari siyo?
 
Nazan hata walivyopatnishwa ni tbc ndo waltaka iwe hivyo,chadema wapotezeeni hao tbc.
 
TBC mbona waneripoti uhalisia au ww unaangalia 'edit' za YouTube😲!
TL Hana Cha kuwaambia watz zaidi ya matusi na kulalama tu! Yaani hata mkewe mbona anatia huruma Sana...naona huwa analalamikiwa mpaka Basi😂🤣😂!
 
Milladr ayo Ni CCM kwani hamkumuona kule ikulu chamwino mnadhani alifata Nini kule
 
Chadema wangekuwa wapo vizuri na media zao, wao ndiyo wangetaka kipi kirushwe na sio matakwa ya hao waandishi.

Maana sasa ni kampeni kila chama kinataka kipi kiwafikie wananchi.

Ama lah hizo ziwe zinakaguliwa na timu ya kampeni ya chadema ndiyo wazirushe.
 
Mkuu tatizo kubwa ni Watu Wenye Akili Timamu wamelazimika kumtumikia Mshamba Mmoja!
Angalau ugali upatikane!
 
Washauri waanzishe TV yao ili irushe matukio yao km wapendavyo. Malalamishi bila suluhisho ni kumaliza chaji ya cm. Wasingekuwa wachumia tumbo kwa kipindi walichoanza wasingeshindwa kuwa na tv
 

Kunapokaribia kupambazuka siku zote mapambano huwa makali sana.
Wanapenda kuonesha lakini hawapo salama tusiwalaumu.
Sisi wajanja tunatizama kwenye instagrams au tweeter au YouTube kwahiyo hayo yasiwatishe sana . Alafu tunashare na watu clips zinasambaa balaa
 
Chadema watu hakuna kwenye mikutano ata nyie wenyewe mnalijua hilo ndio maana kutwa kupost video na picha za ccm.lakini ata hivyo si uwa hamtazami TBCccm leo imekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli huwa hatuwaangalii, lkn kwa sasa tunafanya monitoring, sio kuwa tunawaangalia kwa sababu tunawapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…