Uchaguzi 2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

Wote hao mda ukifika hayo matukio ndo itakuwa vitanzi vyao wenyewe.coz chaneli ni nyingi mno.asante mchina.

Hawataweza kujitetea.kama hao wa TV online wanajidanganya maana zipo nyingi hata za chama pia.

Wanatapatapa,IPO siku watakutia na watafungiwa waishi kama mashetani.

Me ngoja nikanywe Mbege kwa mama D. loading...
 
Huku Zenji Hii ZBC wao hata kuonesha mikutano ya ACT hawaoneshi kabisa, hata kuzungumzia habari za ACT hawazungumzi kabisa.
wakionge za wapinzani wataja za CUF au ADC au TADEA .
nao pia hatuwataki kabisaaaa bora wasije.
 


Chombo cha habari cha umma kinaamua kutumiwa kuwanufaisha watu wachache kwa manufaa yao binafsi.
Watu wanawaza Kuteuliwa badala ya maslahi ya umma.

Watanzania ni kwa sababu bado kuna elements za ukabila na udini lakini mwaka huu ulikua ni mwaka wa kuwatia adabu watu wasio na shukurani.
Watu tuliowapa madaraka kwa miaka zaidi ya 20 ya uwaziri ma hata juu zaidi lakini bado wanatumia hila na Rushwa za Pesa na kuahidiana vyeo.

Watanzania wote tusio ahidiwa vyeo na hatuna undugu wa damu na hao watawala tusiwachague kabisa ili wapate kura za hao wachache waliowaahidi vyeo na madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…