CHADEMA toa msimamo/utaratibu kuhusu waliiohongwa kuropoka hovyo hovyo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Erythrocyte msipokuwa wakali na tabia hii ya kuhongwa na kuwapa mwanya wa kuropoka we are heading to a disaster! Heche alikemee hili wazi wazi kuwa mwenye mamlaka ya kutamka contents of that nature ni Makamu Mwenyekiti/Heche peke yake!

Toeni "Executive order" kuwa issue za maridhiano and the like in that line zitasemwa na Heche tu na si vinginevyo. Hawa wamehongwa ndiyo maana yanaropoka hovyo hovyo.

So called Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anadai Heche akubali maridhiano ili Lisu atoke gerezani. Kwani Lisu anapatanishwa kagombana na nani?

Unaona kabisa kuwa haya majitu yamepewa vijisenti na wahuni!
 
Agreed. CHADEMA muwe serious sana na hawa wapenda rushwa ambao bado wako CHADEMA. Fukuzeni hao wote. Tukumbuke hata kipindi Nyerere alipokuwa anapigania uhuru, kuna waTanganyika waliongwa kumsaliti Nyerere na chama chake cha TANU. Na historia inaoneshwa walishughulikiwa kweli kweli.
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
demokrasia ni kuruusu kila mtu aongee mtazamo wake
jambo muhimu je alichoongea ni msimamo wa chama au fikra zake
kama fikra zake muacheni lazima tofauti ionekane kati ya demokrasia na uhuni
 
Kuongea kwa maelekezo ya adui (ccm) ni demon-krasia, si demokrasia.

Ushauri wako ulipaswa kuuelekeza kwa waliomweka kizuizini nchimbi baada ya kutoa maoni yake ya kuijenga nchi inayosambaratika.
 
Fukuza fukuza ina madhara makubwa kipindi hiki ambacho Chadema inapigwa vita vingi.Kushughulika na hawa masnichi kimyakimya ni bora zaidi.
 
"If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Tutu
 
demokrasia ni kuruusu kila mtu aongee mtazamo wake
jambo muhimu je alichoongea ni msimamo wa chama au fikra zake
kama fikra zake muacheni lazima tofauti ionekane kati ya demokrasia na uhuni
Sawa demokrasia ndio msingi wa chaedema! Kila mmoja anataka demokrasia...LAKINI demokrasi ya kuumiza chama wakati unaona serikali imeua maelfu ya wanachama, Mwenyekiti yuko ndani kesi ya Uhaini ya kubambikiwa, serikali imeikali kooni chadema, wewe kuibua hoja ya kukigwa chama hupashwi kuwa wa kuaminika when chama's survival is at stake! Tena unatoa kauli za machawa wa CCM wanazozitumia kui attack chadema....!
 
Fukuza fukuza ina madhara makubwa kipindi hiki ambacho Chadema inapigwa vita vingi.Kushughulika na hawa masnichi kimyakimya ni bora zaidi.
Nakubaliana na wewe. Hayo masnitch ni kujatenga kimya kimya ikiwemo kutokuhusishwa kwenye vikao, au kutumiwa nyaraka mbalimbali za chama. Liwepo tu bila kazi yoyote na kazi zote ziamishiwe kwa naibu katibu wa mkoa etc
 
Mimi nawalaumu sana viongozi wa Chadema kwa kuchelewa kuchukua hatua kwa wasaliti.
 
Nchimbi alivyotofautiana na chama akatimuliwa, ccm ikaonekana mwenye mawazo mbadala hatakiwi...nyie huko mnajiita wana demokrasia lakn mawazo tofauti yakitokea mnakuja na "timuaaa"

Nyie kweli ni nyumbu..
 
"If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Tutu
Oppressor ni ccm, kwa kupokea maagizo ya ccm, huyo katibu wa mkoa kakisaliti chama chake. He should be dealt with accordingly.
 
Nchimbi alivyotofautiana na chama akatimuliwa, ccm ikaonekana mwenye mawazo mbadala hatakiwi...nyie huko mnajiita wana demokrasia lakn mawazo tofauti yakitokea mnakuja na "timuaaa"

Nyie kweli ni nyumbu..
Nyumbu mamako msenge mzee wewe. Qumer la mamako
 
Back
Top Bottom