Agreed. CHADEMA muwe serious sana na hawa wapenda rushwa ambao bado wako CHADEMA. Fukuzeni hao wote. Tukumbuke hata kipindi Nyerere alipokuwa anapigania uhuru, kuna waTanganyika waliongwa kumsaliti Nyerere na chama chake cha TANU. Na historia inaoneshwa walishughulikiwa kweli kweli.Erythrocyte msipokuwa wakali na tabia hii ya kuhongwa na kuwapa mwanya wa kuropoka we are heading to a disaster! Heche alikemee hili wazi wazi kuwa mwenye mamlaka ya kutamka contents of that nature ni Makamu Mwenyekiti/Heche peke yake!
Toeni "Executive order" kuwa issue za maridhiano and the like in that line zitasemwa na Heche tu na si vinginevyo. Hawa wamehongwa ndiyo maana yanaropoka hovyo hovyo.
So called Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anadai Heche akubali maridhiano ili Lisu atoke gerezani. Kwani Lisu anapatanishwa kagombana na nani?
Unaona kabisa kuwa haya majitu yamepewa vijisenti na wahuni!
kwa vile kajituliza kwake kasuku hataki mamneno, basi tumuache! UNLESS KAMA YUKO NYUMA YA HAO MAHAYAWANIHATA MBOWE INABIDI AFUKUZWE
Kuongea kwa maelekezo ya adui (ccm) ni demon-krasia, si demokrasia.demokrasia ni kuruusu kila mtu aongee mtazamo wake
jambo muhimu je alichoongea ni msimamo wa chama au fikra zake
kama fikra zake muacheni lazima tofauti ionekane kati ya demokrasia na uhuni
"If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" TutuKuongea kwa maelekezo ya adui (ccm) ni demon-krasia, si demokrasia.
Ushauri wako ulipaswa kuuelekeza kwa waliomweka kizuizini nchimbi baada ya kutoa maoni yake ya kuijenga nchi inayosambaratika.
Sawa demokrasia ndio msingi wa chaedema! Kila mmoja anataka demokrasia...LAKINI demokrasi ya kuumiza chama wakati unaona serikali imeua maelfu ya wanachama, Mwenyekiti yuko ndani kesi ya Uhaini ya kubambikiwa, serikali imeikali kooni chadema, wewe kuibua hoja ya kukigwa chama hupashwi kuwa wa kuaminika when chama's survival is at stake! Tena unatoa kauli za machawa wa CCM wanazozitumia kui attack chadema....!demokrasia ni kuruusu kila mtu aongee mtazamo wake
jambo muhimu je alichoongea ni msimamo wa chama au fikra zake
kama fikra zake muacheni lazima tofauti ionekane kati ya demokrasia na uhuni
Nakubaliana na wewe. Hayo masnitch ni kujatenga kimya kimya ikiwemo kutokuhusishwa kwenye vikao, au kutumiwa nyaraka mbalimbali za chama. Liwepo tu bila kazi yoyote na kazi zote ziamishiwe kwa naibu katibu wa mkoa etcFukuza fukuza ina madhara makubwa kipindi hiki ambacho Chadema inapigwa vita vingi.Kushughulika na hawa masnichi kimyakimya ni bora zaidi.
Oppressor ni ccm, kwa kupokea maagizo ya ccm, huyo katibu wa mkoa kakisaliti chama chake. He should be dealt with accordingly."If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Tutu
Nyumbu mamako msenge mzee wewe. Qumer la mamakoNchimbi alivyotofautiana na chama akatimuliwa, ccm ikaonekana mwenye mawazo mbadala hatakiwi...nyie huko mnajiita wana demokrasia lakn mawazo tofauti yakitokea mnakuja na "timuaaa"
Nyie kweli ni nyumbu..
Umesahau juzi nilivyokusiliba makofi wakati umeingia chumbani kwa mamako ukanikuta ndo namkaza mamako ya mdomoni, kwa utamu niliokuwa nasikia nikakuzaba makofi.Nyumbu mamako msenge mzee wewe. Qumer la mamako