Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekufuata ghetto kwako?Kama hawakusumbui tulia ushabikie mpira.CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
Bado ni yaleyale tu.Wewe endelea kushabikia mpira na ikibidi beti zaidi.Achana nao.Wewe sijui unakaa wapi
- hawataki tuzo ya goli la mama
- wanasema kushabikia mpira badala ya maandamano ni ujinga na kutojitambua
CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
Acha ujinga basi!CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
Simba haikupambania Uhuru, Simba walikuwa chawa wa Waarabu, Wahindi na Wakoloni, tusidanganyane.CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
Wewe huelewi kitu- wahindi hawakupigania uhuru wetu?Simba haikupambania Uhuru, Simba walikuwa chawa wa Waarabu, Wahindi na Wakoloni, tusidanganyane.
Kutoka kwa mpumbavuPost ya kipumbavu sana
A single rubber packet could have prevented this messy situation in our nation.CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana