CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

...LPG nimeambia inawasili kwenye ile address leo kabla ya 18:00hrs, na serikali ya CCM mniambie Mr. Ben Saanane yupo wapi?,familia yake ni wakati wakapata closure kuhusu mpendwa wao, kila familia inapenda kujua nini kilimsibu mpendwa wao anapokua amepotea katika mazingira tatanishi
 
Picha hizo hazina maana yoyote. Kuchukua picha ya mkutano wa Dar, mwingine wa Arusha na mwingine wa Misungwi, ni kukosa elimu ya ulinganifu.

Argue sensibly and reasonably.

Wakati wa utawala wa muuaji hakukuwa na uchaguzi. Na hilo ni jambo la kawaida mnapotawaliwa na dikteta. Chochote kinachoitwa demokrasia au uhuru huwa ni maigizo tu.

Tushukuru utawala wake ulidumu kwa muda mfupi, japo siyo kwa namna ambayo tungekuwa tumepewa uwezo wa kuamua, tungeichagua. Lakini mapenzi ya Mungu hayahojiwi na kiumbe chochote. Tumefunzwa kushukuru katika kila jambo maana hekima yake siyo ya sisi wanadamu.
 
ccm mjaanza kutubu mnataka wengine watubu.tokea kupata uhuru mponyie madarakani nani anayefanya maovu kwani mtawala ni nani.
 
Acha upumbavu bwana mdogo, mwanza tunakuja na hamtufanyi chochote. Si ni nyie mlideki barabara Lowasa apite? Usifikiri wa Tz wa leo ni wavivu kufikiri kama mpumbavu wewe
 
Huna haki ya kumsemea yeyote, wanamwanza tumejipanga kufanya mapokezi ya kihistoria
 
Kifo cha shetani ni cha kushangiliwa na wote, na CDM hapo mwanza wapo sana. Subiri jmos ndio utajua propaganda mlizokuwa mnajilisha ni utoto tu.
Na ujio wa shoga wa ubelgiji ni wa kuzomewa na kila mtu
 
Ni ushauri wa KIPUMBAVU kutoka kwa mburula mmoja asiyejuwa Jiografia na historia ya nchi hii. Familia yenyewe ya magufuli ilifurahi shetani Kufa, sembuse ya wananchi wasio na uhusiano naye?
 
Ni ushauri wa KIPUMBAVU kutoka kwa mburula mmoja asiyejuwa Jiografia na historia ya nchi hii. Familia yenyewe ya magufuli ilifurahi shetani Kufa, sembuse ya wananchi wasio na uhusiano naye?
Amsterdam amekukojolea vingapi leo vya mwisho mwisho hapo ubelgiji.
 
Karibuni sana mwanza msisahau haya maneno yenu siku ya mkutano jukwaani tushangilie pamoja

Tuna mambo kibao ya kuzungumza, haya yako mitandaoni, kama vipi watu wa mwanza njooni mpambane nayo huku huku.
 
Nani amesema anakutisha, amaunajitisha mwenyewe.
Unadhani kwanini haya ni maneno ya mtandaoni tu nahayapaswi kuongelewa kwenye mkutano.
Kwani simnasema wengi waliumizwa? Kwanini tusiyaongee hayo maneno ilituungane na wengi kushangilia.

Yaonglewe mara 2? Kwenye kampeni dhalimu alikuwa anasemwa wazi wazi, akaishia kukaa garage kila baada ya mikutano miwili ya kampeni.
 
Kaanzieni kabisa hapo uwanja wa ndege kuzomea maana ni haki yenu, lakini hiyo mwanza CDM watapiga show ya kibabe na hakuna kitu utafanya au hao mapunga wenzio.
Tutawalia sana hela zenu mlizohongwa na mabeberu. Bodaboda mpaka muwajazie mafuta full tank ndiyo waje kwenye kimukutano chenu uchwara
 
Kwa kuwa shetani lenu liliwaaminisha Mwan
za ni ya kabila fulani tu kwa hiyo wengine wasije
 
Kwa kuwa shetani lenu liliwaaminisha Mwan

za ni ya kabila fulani tu kwa hiyo wengine wasije
Tutawalia sana hela zenu mlizohongwa na mabeberu. Bodaboda mpaka muwajazie mafuta full tank ndiyo waje kwenye kimukutano chenu uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…