CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

Samahani wewe kada wa ccm ambaye unajifanya kamanda, hivi unafikiri huyo spika anayetafutwa anaenda kusimamia bunge ambalo linaamua mambo ya wanaccm pekee?
Tumia akili wewe mbigiri, bunge limejaa CCM 99 %. Huoni ni Maccm tu haya? Alafu mimi sio kada wa Ccm
 
Subiri yaje yakuliweshe na mitusi. MaCHADEMA ya hovyooo wewe.!
 
Subiri mzigo wa matusi
20211222_122640.jpg
 
Kila sekeseke la wanaCcm sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.

Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Sasa mna kingine cha kufanya? Chama hakina mpango wowote kisiasa. Mmeshindwa kutoa uamuzi ambao ni water tight kuhusu hatma ya wabunge 19 waliopo bungeni bila chama.
 
Haha! Ndo mnaona leo..?
Hii effect niliona toka zamani ccm inasiasa zinazokalisha wote muwe na attention nazo ndio maana wanasema pia upinzani utatoka humohumo ccm na si nje!!.

Angalieni wapi mnakosea maana na nyinyi kwa kuokota vya ccm hamjambo!,mbaya zaidi hata wale mliowasema vibaya mnawapokea mwisho wa siku wanarudi ccm kwa kupaita nyumbani..😂
 
Tumia akili wewe mbigiri, bunge limejaa CCM 99 %. Huoni ni Maccm tu haya? Alafu mimi sio kada wa Ccm
Kwahiyo hata kama lingejaa maccm kwa asilimia 100, maamuzi watakayotoa ni kwa ajili ya watanzania au kwa ajili ya wanaccm?
 
Haha! Ndo mnaona leo..?
Hii effect niliona toka zamani ccm inasiasa zinazokalisha wote muwe na attention nazo ndio maana wanasema pia upinzani utatoka humohumo ccm na si nje!!.

Angalieni wapi mnakosea maana na nyinyi kwa kuokota vya ccm hamjambo!,mbaya zaidi hata wale mliowasema vibaya mnawapokea mwisho wa siku wanarudi ccm kwa kupaita nyumbani..😂
Makavu haya
 
Chadema ipi?ile iliyotaka luwasa awe rais wetu wakati mchapakazi wa kweli na wa wazi machoni pa watu akiwa NI magufuli
 
Umeandika upuuzi mtupu. Huna hata aibu. Unajibatiza mwanachadema ili upate views kwenye threads zako. Kwa akili zako ndogo unadhani watu hawajui kuwa wewe si CDM?
 
Kusema kweli imekua kosa? Mimi ni Chadema kindakindaki.
 
Sasa mna kingine cha kufanya? Chama hakina mpango wowote kisiasa. Mmeshindwa kutoa uamuzi ambao ni water tight kuhusu hatma ya wabunge 19 waliopo bungeni bila chama.
Wanasubiri Mbowe atoke ndipo wasikilize rufaa yao!! Maana bila Mbowe hakuna kinaweza kufanyika ndani ya chama! Halafu wanalaumu CCM, wakati baraza kuu ndilo lingewakata mazima hao COVID! Hao CCM wanaowatukana humu kila siku kwamba ni akili ndogo wamedili na mkuu wa muhimili mwingine ndani ya wiki moja tu na wamemalizana naye!
 
Kila sekeseke la wanaCcm sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.

Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.

Tofautisha maoni ya CHADEMA kama chama na maoni ya wafausi na mashabiki wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom