Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tumia akili wewe mbigiri, bunge limejaa CCM 99 %. Huoni ni Maccm tu haya? Alafu mimi sio kada wa CcmSamahani wewe kada wa ccm ambaye unajifanya kamanda, hivi unafikiri huyo spika anayetafutwa anaenda kusimamia bunge ambalo linaamua mambo ya wanaccm pekee?
Chadema wasiojielewa wana matusi ya kipuuziSubiri yaje yakuliweshe na mitusi. MaCHADEMA ya hovyooo wewe.!
Sasa mna kingine cha kufanya? Chama hakina mpango wowote kisiasa. Mmeshindwa kutoa uamuzi ambao ni water tight kuhusu hatma ya wabunge 19 waliopo bungeni bila chama.Kila sekeseke la wanaCcm sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.
Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Kwahiyo hata kama lingejaa maccm kwa asilimia 100, maamuzi watakayotoa ni kwa ajili ya watanzania au kwa ajili ya wanaccm?Tumia akili wewe mbigiri, bunge limejaa CCM 99 %. Huoni ni Maccm tu haya? Alafu mimi sio kada wa Ccm
Makavu hayaHaha! Ndo mnaona leo..?
Hii effect niliona toka zamani ccm inasiasa zinazokalisha wote muwe na attention nazo ndio maana wanasema pia upinzani utatoka humohumo ccm na si nje!!.
Angalieni wapi mnakosea maana na nyinyi kwa kuokota vya ccm hamjambo!,mbaya zaidi hata wale mliowasema vibaya mnawapokea mwisho wa siku wanarudi ccm kwa kupaita nyumbani..😂
MaccM menzakoKwahiyo hata kama lingejaa maccm kwa asilimia 100, maamuzi watakayotoa ni kwa ajili ya watanzania au kwa ajili ya wanaccm?
Nasubiri nije niitwe mataga wakati hata karatasi ya kupigia kura siijui Wala hata kadi ya chama chochote siijui inafananaje..😂Makavu haya
Kusema kweli imekua kosa? Mimi ni Chadema kindakindaki.Umeandika upuuzi mtupu. Huna hata aibu. Unajibatiza mwanachadema ili upate views kwenye threads zako. Kwa akili zako ndogo unadhani watu hawajui kuwa wewe si CDM?
haya kapokee buku 7 yako hapo kwa Shaka chaap.Kusema kweli imekua kosa? Mimi ni Chadema kindakindaki.
Hivi ni kweli huyu jamaa ana kale ka ugonjwa kanakovamia ubongo?Subiri mzigo wa matusiView attachment 2079193
Wanasubiri Mbowe atoke ndipo wasikilize rufaa yao!! Maana bila Mbowe hakuna kinaweza kufanyika ndani ya chama! Halafu wanalaumu CCM, wakati baraza kuu ndilo lingewakata mazima hao COVID! Hao CCM wanaowatukana humu kila siku kwamba ni akili ndogo wamedili na mkuu wa muhimili mwingine ndani ya wiki moja tu na wamemalizana naye!Sasa mna kingine cha kufanya? Chama hakina mpango wowote kisiasa. Mmeshindwa kutoa uamuzi ambao ni water tight kuhusu hatma ya wabunge 19 waliopo bungeni bila chama.
Kila sekeseke la wanaCcm sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.
Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.