Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli.
Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na yaliyopo sasa nchini?
Je tutaendelea kusikia matusi dhidi ya Magufuli mpaka lini? Nlitamani watu wachambue uchumi,katiba,siasa n.k but bado wanaendelea kumchamba marehemu.