Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wanachambua kwa sababu ya ushetani wake! Hata shetani halisi anachambuliwa tangu Mungu amtupe duniani na ataendelea kuchambuliwa hadi kiama!Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli.
Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na yaliyopo sasa nchini?
Je tutaendelea kusikia matusi dhidi ya Magufuli mpaka lini? Nlitamani watu wachambue uchumi,katiba,siasa n.k but bado wanaendelea kumchamba marehemu.
Wamepata wasaa wa kusema ukwel wa yaliyomoyon mwao acha waseme!! Pia hiyo sio agenda yao nadhan ukihitaj agenda yao nenda kwa wahusika utapewa. Lkn kuhusu maumiv waliyopitisha nasapoti ni haki yao kusema!!! Vaa uhusika wa Lisu then feel that pain, vaa uhusika wa mbowe then feel that pain kweny mali zako, vaa uhusika wa jamaa zao ambao walipotezwa kweny huu ulimwengu then feel that pain!!! Ni rahis san kuongea kama hujawah feel pain like those painful!!!Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli.
Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na yaliyopo sasa nchini?
Je tutaendelea kusikia matusi dhidi ya Magufuli mpaka lini? Nlitamani watu wachambue uchumi,katiba,siasa n.k but bado wanaendelea kumchamba marehemu.
Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli.
Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na yaliyopo sasa nchini?
Je tutaendelea kusikia matusi dhidi ya Magufuli mpaka lini? Nlitamani watu wachambue uchumi,katiba,siasa n.k but bado wanaendelea kumchamba marehemu.
Na bado, atasimangwa mpaka age ageukie upande wa piliBado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli.
Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na yaliyopo sasa nchini?
Je tutaendelea kusikia matusi dhidi ya Magufuli mpaka lini? Nlitamani watu wachambue uchumi,katiba,siasa n.k but bado wanaendelea kumchamba marehemu.
Karibu mama tulambe asali...😁Hata kwenye nyumba za ibada shetani anasemwa kila siku. Kwenye mikutano ya CDM kunaongelewa mambo mengi, ila nyie sukuma gang mnasikiliza neno Magufuli tu, likitajwa mnarushiana kwenye group lenu.