Huyu jamaa ni mchawi.Lissu alivyokuja Bagaomoyo ulitimua mbio kuficha aibu ya uzi uliofungua jana [emoji1787]
Unapajua mheza wewe?hii picha mbona ni mandhari ya huko Chato?
tupostie ya Muheza!
We endelea kujifariji tu😂Umepiga picha watu wanaoandaa kiwanja cha mkutano! Lets picha ya sasa hivi!
Kumbe mnataka hata palipo na negative tupanadi kwa positive🤔? Aiseeeh😂Countrywide wewe ni mchawi, na huu uchawi wako hautakusaidia zaidi ya kujidanganya na kuwadanganya wasio jua, unajidai uko Chadema ila kila siku unazunguka kutafuta negative za Chadema, na hizo picha zako unazopiga asubuhi kabla hata watu hawajaanza kufika eneo la mkutano ndio unakuja nazo huku, jamaa wewe ni mchawi halisi.
hii picha mbona ni mandhari ya huko Chato?
tupostie ya Muheza!
No. Sipendi mchawi kama mleta mada, anajidai kuipenda Chadema wakati kila siku analeta negative news, juzi alikuja na uzi wa Bagamoyo hakuna watu hakuweka picha, wakati watu walikuwepo, jamaa ni mnafiki.Kumbe mnataka hata palipo na negative tupanadi kwa positive[emoji848]? Aiseeeh[emoji23]
Jana umekuja na habari ya kinafiki kama hii kuhusu Bagamoyo, halafu pic hukuweka na bado unajidai ulikuwepo eneo la mkutano, kama kweli ulikuwepo nini kilikushinda kupiga picha? wewe ni mchawi.Mchawi mwenyewe, mimi naipenda chadema na ndio maana nakosoa pale inapobidi
Hii picha imepigwa asubuhi?? Salum mwalum huyo hapo jukwaaniView attachment 1566576
Atakuwa mchawi anaruka na ungo.Jana ulikuwa bagamoyo leo umepanda chopa mpka mheza
Jana ulikuwa bagamoyo leo umepanda chopa mpka mheza
Weka cliphamna sera kazi yenu kutukana sasa watu waje wajae kusikiliza matusi?
Jana umekuja na habari ya kinafiki kama hii kuhusu Bagamoyo, halafu pic hukuweka na bado unajidai ulikuwepo eneo la mkutano, kama kweli ulikuwepo nini kilikushinda kupiga picha? wewe ni mchawi.
Kwa hiyo jana ulikuwa na Lissu bagamoyo, leo Uko na Salim Mwalimu Muheza???? Kawadanganye majuha wenzako wa LumumbaAcha ujinga wewe, utapiga picha uwanja mtupu?? Lissu kaingia bagamoyo saa 11, wakati huo mimi nishasepa
Mkutano ilibidi uwe saa 4 au saa 5 kama ilivyotangazwa, lakini kwa muda huo watu kulikuwa hakuna
Wewe ndio mjinga, jana umekuja na uzi wa kichawi kama kawaida yako, wakati Chadema walinyimwa kibali cha chopa ratiba yao ya mikutano ikabadilika, wewe na kiherehere chako ukashindwa kufahamu hilo, eti unaipenda Chadema, kawadanganye wajinga wenzio.Acha ujinga wewe, utapiga picha uwanja mtupu?? Lissu kaingia bagamoyo saa 11, wakati huo mimi nishasepa
Mkutano ilibidi uwe saa 4 au saa 5 kama ilivyotangazwa, lakini kwa muda huo watu kulikuwa hakuna
Boya sana huyu popoma wa ccm COUNTRY wideKwa hiyo jana ulikuwa na Lissu bagamoyo, leo Uko na Salim Mwalimu Muheza???? Kawadanganye majuha wenzako wa Lumumba
Wewe ni Chadema eheeeeee!!Nina wadau kila sehemu chama changu cha chadema wanapopita. Hivyo tulia tu