Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

Countrywide wewe ni mchawi, na huu uchawi wako hautakusaidia zaidi ya kujidanganya na kuwadanganya wasio jua, unajidai uko Chadema ila kila siku unazunguka kutafuta negative za Chadema, na hizo picha zako unazopiga asubuhi kabla hata watu hawajaanza kufika eneo la mkutano ndio unakuja nazo huku, jamaa wewe ni mchawi halisi.
Kumbe mnataka hata palipo na negative tupanadi kwa positive🤔? Aiseeeh😂
 
Kwa akili yako hiyo unaiona ni idadi ndogo. Kamuulize kangi lugola na mwanri watakuambia.
Ndondondo si chururu na bandubandu humaliza gogo. Hapo hakuna wasanii wa kufuatwa kuonea hapo ni watu wamefuata Sera
 
wala usijali, hata kama ni Muheza, watu wanamsubiri Lisu. Nimepita Muheza wanasema muda mchache tusubiri Lisu tuunganishe. Kivumbi kinakuja!
hii picha mbona ni mandhari ya huko Chato?
tupostie ya Muheza!
 
Nilifikiri watu bila yule Lissu wangekuja japo kusikiliza uongo wa chadema kumbe wameamua kususa kimoja😂😂
 
Kumbe mnataka hata palipo na negative tupanadi kwa positive[emoji848]? Aiseeeh[emoji23]
No. Sipendi mchawi kama mleta mada, anajidai kuipenda Chadema wakati kila siku analeta negative news, juzi alikuja na uzi wa Bagamoyo hakuna watu hakuweka picha, wakati watu walikuwepo, jamaa ni mnafiki.
 
Jana ulikuwa Bagamoyo leo umepanda chopa mpaka Muheza
 
Mchawi mwenyewe, mimi naipenda chadema na ndio maana nakosoa pale inapobidi
Hii picha imepigwa asubuhi?? Salum mwalum huyo hapo jukwaaniView attachment 1566576
Jana umekuja na habari ya kinafiki kama hii kuhusu Bagamoyo, halafu pic hukuweka na bado unajidai ulikuwepo eneo la mkutano, kama kweli ulikuwepo nini kilikushinda kupiga picha? wewe ni mchawi.
 
Acha ujinga wewe, utapiga picha uwanja mtupu?? Lissu kaingia bagamoyo saa 11, wakati huo mimi nishasepa
Mkutano ilibidi uwe saa 4 au saa 5 kama ilivyotangazwa, lakini kwa muda huo watu kulikuwa hakuna

Kwa hiyo jana ulikuwa na Lissu bagamoyo, leo Uko na Salim Mwalimu Muheza???? Kawadanganye majuha wenzako wa Lumumba
 
Acha ujinga wewe, utapiga picha uwanja mtupu?? Lissu kaingia bagamoyo saa 11, wakati huo mimi nishasepa
Mkutano ilibidi uwe saa 4 au saa 5 kama ilivyotangazwa, lakini kwa muda huo watu kulikuwa hakuna
Wewe ndio mjinga, jana umekuja na uzi wa kichawi kama kawaida yako, wakati Chadema walinyimwa kibali cha chopa ratiba yao ya mikutano ikabadilika, wewe na kiherehere chako ukashindwa kufahamu hilo, eti unaipenda Chadema, kawadanganye wajinga wenzio.

Wewe ni kahuni tu.
 
Yaani wewe umechukuwa picha alfajiri na mapema halafu unaleta blah blah hapa?
 
Back
Top Bottom