Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

Kuleta picha hata mkutano haujaanza ili iweje.. MaCCM acheni kulazimisha mmeshakataliwa. Wakati wa CHADEMA huu kuingia Ikulu.
 
Kuleta picha hata mkutano haujaanza ili iweje.. MaCCM acheni kulazimisha mmeshakataliwa. Wakati wa CHADEMA huu kuingia Ikulu.
Video hii hapa kamanda
Your browser is not able to display this video.
 
Mi sidhani wewe mleta mada ni Chadema

Ila kama wewe ni Chadema kweli na mwanamume mzima unakuja jukwaani kulalamika namna hii, baasi naomba location ya kitaa kwako nkae karibu na mahbouba wako maana I'm pretty sure atakua anakosa mambo yatokayo kwa ma rijali.
 
Ubaya wa hii post ni nini? Hapo ninakikumbusha chama changu namna ya kuwavuta wapiga kura wengi
 
Ya ccm hayanihusu! Siipendi na ndio maana siwafatilii
Wana chadema wanajulikana humu!! Wewe ni nzi wa kijani Lumumba. Namwambia, lete picha cha Majaliwa akiwa Rombo!!

Alafu umesikia Ni yeye Tundu Antiphas Lissu alivyoifuta Ccm yako Morogoro leo???
 
Wanajulikama na kina nani wakati wote humu tumejificha kwa fake id?
Mimi ni chadema kuliko nyie ambao kila kitu mnaona sawa alafu kazi yenu kupost na kucomment tu, kwenye kampeni viwanjani hamtokei. Pumbaff zenu

Wewe ndo Uko Chadema alafu unaongea hivi??? Kilaza mkubwa wa Lumumba wewe
 
Haya yatakuwa matokeo ya kuzindulia kampeni vijijini. Hii siyo picha ya muheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…