Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video hii hapa kamandaKuleta picha hata mkutano haujaanza ili iweje.. MaCCM acheni kulazimisha mmeshakataliwa. Wakati wa CHADEMA huu kuingia Ikulu.
Lete na video ya Kassim Majaliwa akiwa RomboVideo hii hapa kamanda
View attachment 1566678
Lete na video ya Kassim Majaliwa akiwa Rombo
Mi sidhani wewe mleta mada ni Chadema
Ila kama wewe ni Chadema kweli na mwanamume mzima unakuja jukwaani kulalamika namna hii, baasi naomba location ya kitaa kwako nkae karibu na mahbouba wako maana I'm pretty sure atakua anakosa mambo yatokayo kwa ma rijali.
Wana chadema wanajulikana humu!! Wewe ni nzi wa kijani Lumumba. Namwambia, lete picha cha Majaliwa akiwa Rombo!!Ya ccm hayanihusu! Siipendi na ndio maana siwafatilii
Mlipo tupo...Unaandika haya ukiwa wapi?
Wana chadema wanajulikana humu!! Wewe ni nzi wa kijani Lumumba. Namwambia, lete picha cha Majaliwa akiwa Rombo!!
Alafu umesikia Ni yeye Tundu Antiphas Lissu alivyoifuta Ccm yako Morogoro leo???
Wewe ndo Uko Chadema alafu unaongea hivi??? Kilaza mkubwa wa Lumumba weweWanajulikama na kina nani wakati wote humu tumejificha kwa fake id?
Mimi ni chadema kuliko nyie ambao kila kitu mnaona sawa alafu kazi yenu kupost na kucomment tu, kwenye kampeni viwanjani hamtokei. Pumbaff zenu
Umetisha mkuu, .........nyumbu bado watasema video ya kutengeneza.Nimeshamuwekea video
View attachment 1566638
Uchaguzi huu hali ilivyoView attachment 1566503
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Tuonyeshee picha ya salum mwalimu hapo maccm mnajaribu kila mbinu kuichafua chadema lkn dah mshafeliSaa moja asubuhi salum mwalimu kaenda kufanya nini.?
Hiyo picha ni ya kubumba kwani imepigwa saa moja asubuhi na huwezi kuthibitisha kuwa hapo ni muheza! Acha kuhangaika na picha za wasiokuhusu na badala Yake kitafutie chama chako kura!Nyomi gani?