Wewe nawe hata hujitambui, yeye huyo ana nguvu gani ya kisiasa kuishughulikia Chadema? Aliupata ubunge kwa njia chafu kama walivyo wabunge karibia wote wa CCM walivyoingia Bungeni kwa kura za kwenye mabegi. Kauli yake haitutishi labda wewe ambaye humfahamu,sisi tunamjua vizuri ni mlevi mbwa ni mtu ambaye huku Banana hakuna asiyejua misbehaviour zake akinywa pombe. Kifupi huyo mtu ni takataka wala hana madhara kwa Chadema.
Hàna huo ubavu huyo,asiwadanganye CCM haikushinda uchaguzi 2020 ilipora uchaguzi,hata yeye hajui Kama alishinda au alishindwa angekuwa na busara angekaa kimya kuliko kutangaza Vita.