Kachanganyikiwa huyu mhuni!! Alifikiri kuongoza chama ni zile kauli zao za kishenzi walizoharisha kipindi cha uchaguzi wao sio!!"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia" Mh. John Heche
Wewe ndiwe umechanganyikiwa, huwezi kuwa chawa ukawa na akili sawasawa maana unakuwa driven na tumboKachanganyikiwa huyu mhuni!! Alifikiri kuongoza chama ni zile kauli zao za kishenzi walizoharisha kipindi cha uchaguzi wao sio!!
Sahivi wamebaki wametawanyika wasijue chakufanya!! Tunaziita fools erands au harakati za pimbi!!
Nyie na kina Heche mmechanganyikiwa au mmeishiwa pawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 enhe Habil anasemaje? Yaani hii CDM tuliyoitolea jasho na damu leo inaongozwa na wahuni wa mtandaoni kina Habil na wale malaya??Wewe ndiwe umechanganyikiwa, huwezi kuwa chawa ukawa na akili sawasawa maana unakuwa driven na tumbo