Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii post iko kishambenga zaidi. Mashambenga ndio huwa wana stort hizi.
 
Safi
 
SIASA ZIMEWAISHIA,SERA HAMNA KILICHOBAKIA NI KUTAFUTA DRAMA NA SACCOSS YENU WACHAGA,HAKUNA FALA ANAWEZA KUWAPA NCHI WACHAGA,TAMBUENI HILO MBOWE NA VIJAKAZI WAKO.
Wakati mwingine kunyamaza kunasaidia kuficha upumbavu wa mtu.
Sijawi kudharau kama comment ya kijinga kama hii uliotoa, sorry you are stupid in my honest opinion.
 
Ukiwasikiliza CDM zoezi lote linaonekana alikuratibiwa na jeshi polisi isipokuwa mtu ndani ya CCM au uongozi wa CCM kwa kumtumia huyo Hawadh Hajji na Sisty Nyahoza.
 
Hii post iko kishambenga zaidi. Mashambenga ndio huwa wana stort hizi.
Wachaga wa CHADEMA wamewafanya muage mashindano mapema sana,hadi mmegeuka kuwa chakula,ona unajua kabisa ukiwa shambenga unafananaje,sina la kukusaidia, kupenda kwako vya Bure kumekufanya upoteze marinda kiholela kabisa
 
Tunaingoja kwa hamu na tunaomba irushwe live!! Tumemiss GP0 za kina Kingai
 
Popote ulipo kwa cheo chako najua hauko kazini hapo ulipo piga Gori sali mwambie Mungu we u binadamu wa kawaida na una nafasi kama ya Binti yangu alie fia mikononi MWA Ocd Lindi,DC Lindi na mkurugenzi Lindi na wengineo
Mwombe Mungu akusamehe.
Just you are completely wasting your time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…