Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzuka wanajamvi!

Aaawaaadh Awadhiii awadhiii mbona muonevu. Awaaaadh nakuita kwa sauti kuu acha uonevu mara moja Awaaadhh awaaadh chukua hiyo maamaee mbrrrr mbrrr mbrrr nyau wewee
Je Awaz katumwa na nani?

Je anapiga na wazanzibari bia au ni wabara tu?
 
Nchi hii wananchi wasipokuwa makini walinda amani na usalama wa raia wataiingiza kwenye kumwaga damu.
Inasikitisha sana watu waliyopewa dhamani ya usalama wa raia na mali zao ndiyo wanaoongoza kuumiza raia asiye hata na fimbo mkononi!!
 
Mzuka wanajamvi!

Aaawaaadh Awadhiii awadhiii mbona muonevu? Awaaaadh nakuita kwa sauti kuu acha uonevu mara moja Awaaadhh awaaadh chukua hiyo maamaee mbrrrr mbrrr mbrrr nyau wewee
Phallar sana huyo
 
Unaambiwa anapiga virugu kama anapiga drums 🥁 anajikumbushia alivyokua anapiga ngoma za band ya polisi kwenye mwili wako
Hahaha. Unaambiwa aliwashushia mbata hadi wale mapolisi walikuwa wanamuita mnyika mheshimiwa.
 
SIO NABII, LAKINI KUNA MLIPUKO MKUBWA SANA KATIKATI YA 2029/20230.
 
Umenena asitusahau walevi

Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watanzania kunywa pombe kupita kiasi.. Hali inayosababisha Chuki kwenye Jamii Sana (Mjamaa anakunywa Sana Bia badala ya Kujenga Nyumba, kununua matofali...
Hapo hata sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…