👏👏🤝Sema Mbowe hana tena ile credibility kama zaman. Kwasasa alishaji compromise, watu tunamsikiliza kwa mashaka sanaaa sio kumuamin kirahis kama zaman
Tena mbowe naskia katandikwa Rungu kwenye zile kengeza zakeee,wewe acha atoke ndukiii...anaposema oooh polisi siendiii itabid tumwelewee tuuuh...Unaambiwa anapiga virugu kama anapiga drums 🥁 anajikumbushia alivyokua anapiga ngoma za band ya polisi kwenye mwili wako
Sasa unawaonea huruma CHADEMA Kwa lipi??Kwa udhalimu waliofanyiwa CHADEMA Mbeya na kwingineko, kwa hakika nineuchukia utawala huu kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea katika Historia ya maisha yangu.
Police, mmewakosea sana CHADEMA. Kwa uungwana tu IGP anatakiwa kuwaomba msamaha CHADEMA. Mimi si mwanachama wa CHADEMA lakini kitendo walichotendewa CHADEMA kimeniumiza sana.
Lakini Mungu ni mkubwa zaidi, ipo siku ukombozi kamili wa Nchi hii utapatikana.
Sio mzanzibar ni MTU wa dodoma, Kondoa mrangiJuzi kwenye kuzuia Chadema wasifanye kongamano la vijana, polisi Mzanzibar, Kamishna Awadhi, alionesha chuki ya wazi kwa Watanganyika, kwa kutumia ujinga wa Watanganyika, aliamuru akina Mnyika na Sugu wapigwe,na yeye alishiriki kuwapiga bila kosa. Ikumbukwe kuwa Zanzibar hawaruhusu polisi wa Tanganyika kuajiliwa huko,lakini polisi huyu ameweza kuwapiga Watanganyika na kuwaumiza kutokana na chuki zake juu ya Watanganyika
Ndio nyinyi mambulula wa JFJuzi kwenye kuzuia Chadema wasifanye kongamano la vijana, polisi Mzanzibar, Kamishna Awadhi, alionesha chuki ya wazi kwa Watanganyika, kwa kutumia ujinga wa Watanganyika, aliamuru akina Mnyika na Sugu wapigwe,na yeye alishiriki kuwapiga bila kosa. Ikumbukwe kuwa Zanzibar hawaruhusu polisi wa Tanganyika kuajiliwa huko,lakini polisi huyu ameweza kuwapiga Watanganyika na kuwaumiza kutokana na chuki zake juu ya Watanganyika
Bibi hatakiwi huku, arudi kwao huko kwa mashoga na matejaWewe ulikuwepo, au umepata hadithi?
Naa mbona mmeanza swala la ukabila ghafla?
Hujui usemalo mimi Muislamu kizazi Cha kumi na mbili kikitokea Hadharamaunt na Nina wadhifa CDM sijui unaongea ujinga gani.CHUKI ZA KIDINI ZILIZOJAA CHADEMA KWANI HAZIONEKANIKI??
CHADEMA NI UKABILA NA UDINI TUH UMEJAA,NANI AWAPE NCHI.
Sawa,wewe muislam na upo CHADEMA na ni kiongozi,vizuri sana...wewe hapo zingatia maokotoo tuh kama anavyofanya mwenyewe kamanda uchwara mbowe na wenzake,lakini chama hapo hakuna.Hujui usemalo mimi Muislamu kizazi Cha kumi na mbili kikitokea Hadharamaunt na Nina wadhifa CDM sijui unaongea ujinga gani.