MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tuna siku 14 pekoe, japo kuwa hatuna sababu ya muhimu twendeni kuizuia hivyohivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili zako vizuri. Ukizuia leseni ya Nape unazuia ajira tegemewa za vijana pamoja na mapato kwa taifaTuna siku 14 pekoe, japo kuwa hatuna sababu ya muhimu twendeni kuizuia hivyohivyo.View attachment 2774467
Huwa halipi mishahara wafanyakaz wakeTumia akili zako vizuri. Ukizuia leseni ya Nape unazuia ajira tegemewa za vijana pamoja na mapato kwa taifa
Kama wafanyakazi wa Nape hawa lipi mishahara na wanaendelea kufanya kazi basi wafanyakazi hao ni wafanyakazi hewaHuwa halipi mishahara wafanyakaz wake
TwafwaaaTangu yule aloeondolewa kisa ana maslahi ya kibiashara sasa kila kiongozi anajianika tu na kuringisha biashara zake
Kwa raha zao maana ni rukhsa kuwa kiongozi na maslahi mengine
Wanabana kote
Ko mkuu watu wasifanye biashara?Tangu yule aloeondolewa kisa ana maslahi ya kibiashara sasa kila kiongozi anajianika tu na kuringisha biashara zake
Kwa raha zao maana ni rukhsa kuwa kiongozi na maslahi mengine
Wanabana kote
Hapana wafanye tena wafungue makampuni makubwa makubwa na kuajiri vijanaKo mkuu watu wasifanye biashara?