Chadema tuwahi TCRA kuzuia leseni ya Nape

Chadema tuwahi TCRA kuzuia leseni ya Nape

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Tuna siku 14 pekoe, japo kuwa hatuna sababu ya muhimu twendeni kuizuia hivyohivyo.
Screenshot_20231007-152802_Chrome.jpg
 
Ko mkuu watu wasifanye biashara?
Hapana wafanye tena wafungue makampuni makubwa makubwa na kuajiri vijana
Hata viwanda vya magari walete
Lakini hawa viongozi ni waoga kwa sababu wengi wao hela ni za wizi na ni za walipa kodi ndio maana utaona biashara zao hazina faida ya moja kwa moja kwa wananchi wengi

Kama ni hela za halali mtu anajulikana alikuwa na ng'ombe 1000 za familia wakauza kaanza biashara nyingine na mwisho kafungua kiwanda cha nguo na kuajiri watu 1000 sawa
Lakini hawa ni madili ndio yanawabeba na kujulikana kuwa ni waziri na simu moja tu kapewa tenda ya kutengeneza barabara

Ndio maana unakuta wakistaafu anafungua Bar au hotels za kulala poor 😢

Ni rukhsa kufanya biashara ila kuzitakatisha ndio kazi
Wanaamua kufanya biashara za darasa la saba
 
Back
Top Bottom