Tuanze na kwenye red: Unaamini kwa sasa Wapinzani wana nguvu? Ndani ya week mbili Lowassa kabadili karibu kila kitu - unchallenged! Huoni kama sasa ni mfalme?
Kwenye blue: Ni kweli hatumii gharama yoyote CDM/UKAWA?
Mkuu bado kabisa hujanisoma ukanielewa miye? nilishasema wazi wala sii mara moja ya kwamba mimi natazama REALITY na ndicho nachoandika siwezi kuwa OBJECTIVE katika mambo ambayo najua haiwezekani.. Na kama unajua yote hayo uloandika hapo juu, utajengaje matumaini kwa mtu mmoja ambaye ni sehemu ya waloikwamisha nchi hii. Utapandaje mbegu bora juu ya magugu ukategemea kuvuna mavuno bora?
Unamkumbuka Lowassa alivyotupa matumaini juu ya swala la UMEME na MAJI mwaka 2006 ati itakuwa historia tukajenga watu matumaini! Halafu mtu huyu huyu akatuletea Richmond kwa walokuwa wakimfahamu walijua toka mwanzo kuwa tumeliwa! Leo mnakuja jenga tumaini, kumwita yeye ndiye Messi, jamani ushabiki mwingine basi hata uwe na maana. Bacelona hawawezi kumwachia Messi wala kumuuza akachezee Real Madrid lakini wameweza kumwachia Xavi akacheze Arabuni...
Mkuu,
Kwenye post zako nyingi hapo nyuma ulicoment kwa reality zako kwamba bora Prof. Lipumba agombee UKAWA sio Dr. Slaa kwamba angalau watafanya vizuri kiasi ( maana ulishawatabiria kushindwa),na ukasem iwapo UKAWA wakimsimamisha Dr.Slaa badala ya pro.Lipumba watapoza zaidi, sasa can u give us a rivised comment based on reality ambae anaweza kuwapatia UKAWA anafuu japo kidogo hawa jamaa kati ya Dr.Slaa, pro.Lipumba na mvamizi Lowassa? Na je based on reality Lipumba au Slaa wanaweza kweli kushindana na kupata ushindi bila Edo kuwaingili??
Wana jukwaa, mimi niliunga mkono Lowassa kujiunga Chadema kwa sababu moja kuu nalo ni kwamba ujio wake utapelekea kudhoofika kwa CCM na kuongezea nguvu upinzani. Niliamini kwa dhati kwamba kabla ya kupokelewa Chadema, viongozi wote wa UKAWA watakuwa wamekaa, wameafiki na kuridhia ujio wake huo. Niliamini na bado ninaamini, pengine kwa makosa, kwamba kama ana nia ya kupeperusha bendera ya UKAWA itabidi apambanishwe kwanza ndani ya Chadema na wagombea wengine. Hii habari ya yeye pekee kuteuliwa, kama ni kweli, imenishtua kidogo.
I'm soooo sad...!
Hapana Susuviri, hilo la kabilioni kumi peleka jukwaa lileee, utapata like nyingi tu. Humu watu hawajadili umbea. Kidogo kidogo naanza kuelewa what is happening, nikipata data kamili sitakuwa mchoyo.Ni kweli na ndiyo ilikuwa sharti lake la kuhamia na kutoa kale kabilioni 10 ..
Wana jukwaa, mimi niliunga mkono Lowassa kujiunga Chadema kwa sababu moja kuu nalo ni kwamba ujio wake utapelekea kudhoofika kwa CCM na kuongezea nguvu upinzani. Niliamini kwa dhati kwamba kabla ya kupokelewa Chadema, viongozi wote wa UKAWA watakuwa wamekaa, wameafiki na kuridhia ujio wake huo. Niliamini na bado ninaamini, pengine kwa makosa, kwamba kama ana nia ya kupeperusha bendera ya UKAWA itabidi apambanishwe kwanza ndani ya Chadema na wagombea wengine. Hii habari ya yeye pekee kuteuliwa, kama ni kweli, imenishtua kidogo.
I'm soooo sad...!
Wanachama wa CDM wanamwaminisana Dr Slaa. Hata pale alipokosea , walikuwa tayari kumpa ‘benefit of doubt'Process nzima imeawaliwa na ubabe bila maandalizi ya kutosha.
Ukifuatilia maoni ya wafuasi wa Chadema kwenye itandao utaona Slaa anaemwa kwa kejeli na dharau. Lakini wanaofanya hivyo wanaweza kuwa ni wale mashabiki wa Lowassa ambao amekuja nao. Hawa tangu mwanzo hawakumuunga mkono Slaa.
Pamoja na kwamba kuondoka kwa Lowassa kunaweza kutafsiriwa kama kuigawa CCM, madhara yake ya kuigawa Chadema yameshaanza kuonekana...
Wana jukwaa, mimi niliunga mkono Lowassa kujiunga Chadema kwa sababu moja kuu nalo ni kwamba ujio wake utapelekea kudhoofika kwa CCM na kuongezea nguvu upinzani. Niliamini kwa dhati kwamba kabla ya kupokelewa Chadema, viongozi wote wa UKAWA watakuwa wamekaa, wameafiki na kuridhia ujio wake huo. Niliamini na bado ninaamini, pengine kwa makosa, kwamba kama ana nia ya kupeperusha bendera ya UKAWA itabidi apambanishwe kwanza ndani ya Chadema na wagombea wengine. Hii habari ya yeye pekee kuteuliwa, kama ni kweli, imenishtua kidogo.
I'm soooo sad...!
Mkuu suala la Dr Slaa halinanamna ya ku-handle isipokuwa busara zake.Lowassa ni risk kwa CDM, kama swala la Dr.Slaa halijawa handled with care, linaweza kuhatarisha kuliko faida
1. Mm kimsingi nilipinga kabisa Lowassa kuhamia CDM na kugombea, nikipenda zaidi ahamie na kuwa nomarl part member na kuwasaidia UKAWA kwenye mapambano, lakini kama mnavyojua wengi wa viongozi waliona Lowassa ni fursa kwao japo ni fursa yenye mashaka makubwa wakaamua kugamble na kuitumia.
Kiukweli hakuna yyt ambae haoni impact iliyotokea CCM kwa kuondoka huyu Bwana, na ninadhani kama UKAWA wakishikamana angalau Bunge wanawezq kukamata, na ninadhani hiyo ndio target yao kubwa.
Hili suala halikuwa namaandalizi wala maridhiano.2. Dr.Slaa, huyu alitakiwa from begining ya makubaliano na EL awe clear na akubaliane na wenzake wote kama kweli wanasema walifanya vikao kadhaa kabla ya kumualika rasmi, na kama alikubali au kushawishiwa kwenye vikao mpaka akakubali basi sioni kama kutakua kuna shida yyt zaidi ya hizi porojo za kila siku kumuhus. kimsingi yeye ndio devide Factor kubwa ambayo ndio naiona kwa sasa, wakimuhandle kwa busara na yeye kuamua kufunika kombe mwanaharamu apite angalau tunaweza kuona matunda kidogo kwenye uwekezaji huu wa wenye risk kubwa waliofanya Ukawa.
Laah, akishupaza shingo na kukomalia msimamo wake kwamba hamtaki EL na kwamba hawezi kula matapishi yake, basi kutatokea na anguko kubwa sana kwa UKAWA nawatakua wameharibu hata kidogo walichokijenga, mpaka sasa mm sijajua standing yake baada ya EL kujoin kwamba ataendelea au ataachana na siasa, maana yeye yupo kimya kabisa, zaidi tunasikia tu vurumai za kwenye mitandao na magazeti kuhusu future yake after El envision.
Hili ni suala la wadau kulitafakari. Ni hoja nzito3. Kwa sisi tunaopinga Kuhusu Lowassa, lazima pia tutafakari kwa kina na kwa mapana yake, hawa viongozi wa UKAWA ndio wameshakosea sana kwa kumkaribisha huyu mtu na muda umekwisha, je bora kukosa kabisa mabadiliko hata kama machache kuliko kumtumia EL kufanikisha hili jambo ambalo kwa utashi wao wao wanaona anaweza kuwavusha. Au kuendelea kukomaa na mabadiliko, kwamba mtoto ndio Kanyea Mkono (viongozi wa UKAWA kwa kumkaribisha EL kwenye uraisi) tuusafishe na kusonga mbele kuliko kuukata au kumpiga mtoto, maana ndio keshakosea. Ni fikra tatanishi sana ila ndio hali tuliyopo
Mkuu kama ingelikuwa anapigania mabadiliko, mbona tungeshaona siku nyingi!!!Wana jukwaa, mimi niliunga mkono Lowassa kujiunga Chadema kwa sababu moja kuu nalo ni kwamba ujio wake utapelekea kudhoofika kwa CCM na kuongezea nguvu upinzani. Niliamini kwa dhati kwamba kabla ya kupokelewa Chadema, viongozi wote wa UKAWA watakuwa wamekaa, wameafiki na kuridhia ujio wake huo. Niliamini na bado ninaamini, pengine kwa makosa, kwamba kama ana nia ya kupeperusha bendera ya UKAWA itabidi apambanishwe kwanza ndani ya Chadema na wagombea wengine. Hii habari ya yeye pekee kuteuliwa, kama ni kweli, imenishtua kidogo.
Mkuu,Mag3:
There we go. Lowassa anasema CCM ilimnyima haki kwa kundi la viongozi kumteua Magufuli. Lakini process hiyo hiyo imetumika CDM/UKAWA. Hapa na mimi naona something is fishy.
Vilevile kama Dr. Slaa hakuwa na ridhaa kwa process hiyo, na mimi nitaanza kupunguza support zangu za hatua yake kwenda CDM.
Hili suala halikuwa namaandalizi wala maridhiano.
Tumeeleza safari ya Dr Slaa Mwanza kama isiyokuwaya kawaida. Kipindi kirefu kimepitaUKAWA wakatafuta mgombea.
Tumesikia CUF walikataa mpakaABCD zikubaliwe n.k.
Ghafla likaja hili tenalikinzia kamati kuu bila vikao vingine
Ndio maana tunasema,kinachotakiwa ni busara na hekma za Dr Slaa peke yake, si ku handle with care kwasababu the whole process is flawed ab initio
.
Mbowe should come out to address the situation. Kuacha mambo ya ''hang'' namna hii ni kulikuza tatizo ambalo kwa maoni yangu binafsi Mbowe is at the centre of the whole fiasco kama mwenyekiti na KUB
Mkuu maneno haya sio kweli, Ofisi ya Chadema ilifungwa baada tu ya Lowassa kuchukua fomu na hakuruhusiwa mtu mwingine yeyote kuchukua fomu ya Urais, hivyo kupendekezwa kwa Dr.Slaa wakati uchukuaji fomu bado haujatangazwa rasmi haina maana yoyote. Chadema wametuonyesha mfumo mbovu kuliko hata ule wa CCM kuengua watu na kamati ya maadili jambo ambalo mimi naona CCM wameboresha mfumo wao zaidi ili kupata viongozi wenye sifa, zamani hapakuwa na sifa isipokuwa mwenye umaarufu na uwezo wa ku deal na matatizo!...Dr.Slaa ha kuchukua fomu.
..inasemekana cc ya cdm ilimpendekeza.
..sasa cc ya cdm imempendekeza Lowassa badala ya Dr.Slaa.
..pia inaelekea nccr na cuf wamemkubali Lowassa kuliko ambavyo cdm wamemkubali.
..halafu kuna zile tetesi kwamba cuf hawamtaki Dr.Slaa. Huenda ni ukweli. Labda tujiulize fomu aliyochukua Prof. Lipumba imepotelea wapi? Je, Prof wakati anachukua fomu hakujua kwamba anayepaswa kugombea kupitisha ukawa ni Dr.Slaa?
..inawezekana Lowassa anawaunganisha Ukawa kuliko ambavyo Dr.Slaa angewaunganisha.
. Mkandara, Susuviri, Nguruvi3, Mag3, King Suleiman
..