CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto.

Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa.

Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.

Hivi kitengo chenu Cha propaganda hakuna watu wenye akili Zaid yako? Mbona wewe ni mburula Sana. Nyie ccm si ndo hua mnasomba watoto wetu wa shule kujaza mikutano yenu?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kitengo cha propaganda kivunjwe hakuna ubunifu.
 
chadema wamechoka hakuna jipya sasahivi wanaparurana wenyewe kwa wenyewe tu
 
Hivi kitengo chenu Cha propaganda hakuna watu wenye akili Zaid yako? Mbona wewe ni mburula Sana. Nyie ccm si ndo hua mnasomba watoto wetu wa shule kujaza mikutano yenu?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Ccm hawachukui watoto wa shule kwenye mikutano ya kisiasa labda kwenye maadhimisho ya kitaifa.
Mikutano ya kisiasa wanachukua vijana wa vyuo

Sasa hawa ndg zangu wamealika watoto wadogo hawana hata wajuacho. Ni matumizi mabaya ya rasilimali watu
 
Hivi kitengo chenu Cha propaganda hakuna watu wenye akili Zaid yako? Mbona wewe ni mburula Sana. Nyie ccm si ndo hua mnasomba watoto wetu wa shule kujaza mikutano yenu?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Yeah, Huwa ndio swali langu nawaulizaga daily! Wana propaganda za kipumbavu sana
 
Hapa ni Kasulu mjini Jana, Vijana wa kipumbavu wa CCM wamekubali kurubuniwa na Wapumbavu waharibu mkutano wa CHADEMA bahati mbaya Mkutano ukafanyika jioni.

Wakashindwa kusubiria Hadi jioni kutokana na kushinda njaa.
 
Sukuma Gang mavi yanagonga chupi mkiona jinsi Chadema inavyokubalika. Mngejua kuwa adui yenu siyo Chadema mngejikita kumkabili adui yenu kuliko kupoteza muda wenu kuhangaika na Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…