Hivi kitengo chenu Cha propaganda hakuna watu wenye akili Zaid yako? Mbona wewe ni mburula Sana. Nyie ccm si ndo hua mnasomba watoto wetu wa shule kujaza mikutano yenu?
Hizi sio propaganda, hii ni reality.
Labda kama hujui maana ya propaganda!
Halafu hakuna ugomvi hata hivyo. Kama wameamua kuwekeza kwa watoto wahakikishw wanawapa kile kinachoendana na umri wao.