Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

Wapinzani ndiyo wanaiamsha amsha serikali.

Hilo la kuwaondoa bungeni sijaliona
 
Kumekuwa
Nani kawaambia mmseme hivi?
 
Chadema tumeshayazoea matamko yenu.
 
Lini wanajenga ofisi ya chama?

Wametumia shs ngapi kufanya kikao kwenye hoteli ya kitalii?
Hizo hazijatoka serikalini kwani hawapati ruzuku, unatakiwa udai matrilioni yanayokombwa na CCM kwa kisingizio cha kufanya matengenezo ya viwanja vya michezo ilivyopora, acha kuwalinda wezi.
 

Sio wakiwa na shida, sema wakiwa na uhitaji na huduma ya kiofisi, ni kipi hao wanachama wameshindwa kukipata kupitia ofisi hiyo iliyopo? Watanzania walioikataa CDM ndio wameaigiza vyombo vya dola waende na mabox ya kura vituoni ili kuibeba CCM?
 
Nimefurahia maazimio juu ya viongozi kujiandaa kuandaa mikutano ya hadhara.

Nimefurahia pia TIMEFRAME kuwekwa, neno kabla ya Novemba ni nzuri, maridhiano lazima yawe na muda😠😠.

Bt sijafurahi kuona kamati haijatwambia LISSU na wengine wanarudi lini🙃🙃🙃🙃.

Ikifika November maridhiano hayaeleweki rudini Kwa wananchi TUHESABIWE!!!!
 
Dunia kiganjani mwako mwaisa! Zinduka! Ofisi siyo jengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…