Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

Ha hqnhqnhabah chadema huwa wanaota saana yaan mambo yao Kama abunuasi.
 
Kwa hiyo shida za maccm zinatatuliwa kt yale mabanda??
 

Duh

Hatari sana

Ama kweli ukipenda chongo utaona kengeza.
 
mnaweka masharti utafikiri Nchi ya baba yenu hii ?

kwani msipozungumza na serikali kuna kinachopungua ?😏
 
Bado ninasubiria kujua mipango ya kupumzika kwa mbowe kama alivyoahidi.

Kamati kuu haijatoa tamko kuhusu hili?
 
Wewe hizi habari umezipata ofisini au nyumbani kwake?
 
Lini wanajenga ofisi ya chama?

Wametumia shs ngapi kufanya kikao kwenye hoteli ya kitalii?
Sasa hilo swali uliloliuliza, linahusiana vipi na hayo maazimio yaliyotolewa na Chadema?

Kushabikia CCM, ni sawasawa na kuwa "hamnazo" fulani?🥺
 
Lini wanajenga ofisi ya chama?

Wametumia shs ngapi kufanya kikao kwenye hoteli ya kitalii?
CHADEMA waliamua kuwekeza kwanza kwa watu na sio majengo na ndio maana imekuwa tishio sana kwa CCM kwa sababu ina watu wengi sana. Pia dunia ya kisasa haihitaji maofisi makubwa kama hakuna lengo la kuyafanya kuwa vitega uchumi.
 
kwani ofisi za chama nikwaajili yakupokea shida za wananchi?.ikiwa hivyo na ofisi za serikali zitakua zinafanya kazi gani sasa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hili nalo ulitaka/ulitegemea waliweke kwenye "maazimio"?
Hapana. Ila naona kama haya maazimio yamekaa kama kelele za chura zisizomzuia ng'ombe kunywa maji. Ama kelele za mlango zisizomzuia mwenye nyumba kuingia ndani kwake
 
Hapana. Ila naona kama haya maazimio yamekaa kama kelele za chura zisizomzuia ng'ombe kunywa maji. Ama kelele za mlango zisizomzuia mwenye nyumba kuingia ndani kwake
Aiseee, ukijua maudhi ya "mlango wenye kelele" kamwe usingetumia mfano huu.

Hizi kelele za CHADEMA sasa CCM haipuuzi tena.

Hatua hiyo ilikwishapita siku nyingi sana; ndiyo maana unaona wanatumia mbinu zote wanazoweza kujaribu kuzisikiliza na kuzitafutia njia za kuzipunguza.

Ni kelele hizo hizo zilizompa wazimu Magufuli, na kufanya kila awezalo kuimaliza CHADEMA lakini wapi.

Sasa wewe hapa leo unakuja na kusema "kelele za chura"?
 
Napenda sana tuipate katiba mpya lkn hofu yangu ni kwamba ccm hawako tayari kunoa kisu cha kujichinjia wenyewe.

Watafanya janja ya mama asiyekuwa na chakua ya kuchemsha mawe na kuendelea kuyachochea mpk watoto walale. Hayo maridhiano ni mawe ili chadema wapumbazike (walale).
 
Kumbe baso Saccos hii bado ipo?
 
Ninakubaliana nawe moja kwa moja.

Bahati nzuri, CHADEMA wametambua hakuna chakula kinachopikwa, ndiyo maana wamekuja na haya maazimio waonjeshwe hicho chakula kinachopikwa kabla hakijapakuliwa na kuwekwa mezani.

Wanataka wajiridhishe pasi na shaka yoyote, kwamba kweli kinachopikwa ni chakula, na siyo mawe!
 

Pana lililotekelezwa hapa?
 
CHADEMA bhana,kutakua na shida ya uongozi,hao Covid19 bado wamo bungeni,na hatujaona chochote kinachofanyika,haya mambo bhana.
 
CHADEMA bhana,kutakua na shida ya uongozi,hao Covid19 bado wamo bungeni,na hatujaona chochote kinachofanyika,haya mambo bhana.
sasa ndugu hao wamewapeleka wenyewe wana tuzuga tu ndiyo maana hawawezi kuwatoa na kinachofuata ni kuumbuka kwa katibu mkuu tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…