ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Dec 16, 2022 #81 petmiha said: sasa ndugu hao wamewapeleka wenyewe wana tuzuga tu ndiyo maana hawawezi kuwatoa na kinachofuata ni kuumbuka kwa katibu mkuu tu hapo Click to expand... Hii inafikirisha sana.
petmiha said: sasa ndugu hao wamewapeleka wenyewe wana tuzuga tu ndiyo maana hawawezi kuwatoa na kinachofuata ni kuumbuka kwa katibu mkuu tu hapo Click to expand... Hii inafikirisha sana.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Dec 16, 2022 #82 ki2c said: CHADEMA bhana,kutakua na shida ya uongozi,hao Covid19 bado wamo bungeni,na hatujaona chochote kinachofanyika,haya mambo bhana. Click to expand... Unaongea peke yako au kuna mtu mnawasiliana?
ki2c said: CHADEMA bhana,kutakua na shida ya uongozi,hao Covid19 bado wamo bungeni,na hatujaona chochote kinachofanyika,haya mambo bhana. Click to expand... Unaongea peke yako au kuna mtu mnawasiliana?