Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Mwanasheria sio msemaji wa CHADEMA.We ni mwanasheria?au mburula?fatilia mahojiano start,usikie mwanasheria anatolea maelezo
Ficha umbulula. Punguza ujuaji mavi unajidhalilishaMwanasheria sio msemaji wa CHADEMA.
CHADEMA imetoa tamko kupitia Salum Mwalimu kwamba wamemweleza Spika matokeo ya hukumu hivyo.
Spika haambiwi hata na mahakama nani mbunge nani sio mbunge.
Sembuse Salim Mwalimu.
Kwa sababu tayari anayo taarifa ya Tume ya Uchaguzi ya mwaka 2020 inayowatambua kina Mdee, deservedly or otherwise, kama wabunge.Kwann spika alipowakingia kifua hakusubiri barua ya tume lkn kwenye kuwaondoa ndiyo anasubiri barua ya tume?
Tundu Lissu alifukuzwa na parliamentary rules. Spika ndio arbiter wa parliamentary rules, kwa hiyo Spika akaiambia TUME,na TUME ikaitangazia dunia kwamba jimbo la Tundu Lissu liko wazi.Mleta mada ni bure kabisa
Kwani Tundu Lisu alifukuzwa ubunge na NEC?
Wale Wabunge 8 wa CUF walifukuzwaje?Tundu Lissu alifukuzwa na parliamentary rules. Spika ndio arbiter wa parliamentary rules, kwa hiyo Spika akaiambia TUME,na TUME ikaitangazia dunia kwamba jimbo la Tundu Lissu liko wazi.
Mdee na wenzake wamefukuzwa na constitutional rules. CHADEMA inapaswa kuelekeza hoja zao za kikatiba kwa TUME, TUME itaitangazia nchi na Spika nani ni mbunge wapi kutoka chama gani kuanzia lini.
Msingi wa Tulia kusema anasubiri hukumu ni upi?Kwanini hakusema yeye anasubiri tume ya uchaguzi?Nijuavyo Mimi,mbunge akifukuzwa uanachama,Spika huiandikia tume kuijulisha kuwa Kuna nafasi Iko wazi baada ya mbunge kupoteza sifa za kuendelea na ubunge!Tume ndio hapo hushughulikia namna ya upatikanaji wa mbadala na baada ya mchakato,humpa taarifa Spika juu ya nafasi iliyowazi itajazwa na nani!Kwa sababu tayari anayo taarifa ya Tume ya Uchaguzi ya mwaka 2020 inayowatambua kina Mdee, deservedly or otherwise, kama wabunge.
Taarifa hiyo, whether ilitengemezwa kwa kughushi au vinginevyo, itatenguliwa na taarifa rasmi nyingine kutoka Tume kwenda kwa Spika.
Salum Mwalimu, cover your bases, peleka barua Tume.
NEC haiwezi kufanyia kazi nakala. Salum Mwalimu kasema.kapelela nakala TumeAcha uongo nakala wamepewa NEC na ofisi ya msajili