CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

Acha uongo nakala wamepewa NEC na ofisi ya msajili wa vyama toka juzi jioni. Alafu hukumu ni public hata mwanasheria mkuu anaweza notify spika na relevant bodies tusitafute janja janja ya kukwepa haki.
vipi na leo zile covid bado zimeingia mjengoni?
ukiona umbwa juu ya nti basi ujuee kuna ntu wake kampandisha
 
Anayepeleka tume ya uchaguzi ni spika siyo chama
 
Kundi la Halima leo wamechangia bungeni. Obviously Spika hasubiri hukumu.

Cover your bases. Peleka barua au majina mapya TUME.
Sasa wewe unapingana na Tulia aliyetoa ufafanuzi kuwa anasubiri hukumu ya mahakama?Na akaongeza,sio kazi ya mahakama kumpa taarifa ila yeye mwenyewe ni hukumu lake kujiridhisha!Akitoa ufafanuzi Huo alipohojiwa,rudi kasikilize mahojiani yake na waandishi wa habari!
Kama hujaridhika,rejea mchakato wa kufukuzwa uanachama wa wabunge viti maalumu CUF!NEC walipewa tu taarifa kuwa Kuna nafasi ziko wazi!Hata mbunge anapofariki,sio kazi ya NEC kutoka taarifa Kwa Spika Bali ni kazi ya Spika kumpa taarifa NEC Ili mchakato wa kupata wabunge wengine uanze!
Iruhusu akili Yako ipate maarifa Mapya,usijifungie ndani ya box au kuvaa miwani ya mbao!
 
Mwanasheria sio msemaji wa CHADEMA.

CHADEMA imetoa tamko kupitia Salum Mwalimu kwamba wamemweleza Spika matokeo ya hukumu hivyo awaondoe kina Mdee.

Spika haambiwi hata na mahakama nani mbunge nani sio mbunge.

Sembuse Salim Mwalimu.
Kilaza mkubwa wewe.
 
Sasa kama Spika kasema anasubiri hukumu barua ya CHADEMA ni hukumu ????
Chadema wamepeleka bungeni hukumu pia wamepeleka NEC na pia Kwa msajili wa vyama vy a siasa..
Wameshamaliza kazi yao wenye maauzi wacha waendelee kuisigina katiba wananchi tunaona
 
SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwba sasa awatoe bungeni.

Wamechemka tena.

Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi.

Salum Mwalimu aelekeze barua yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Spika hawezi kufanyia kazi barua ya Salum Mwalimu au ya John Mnyika halafu kesho kutwa ikaja barua ya Freeman Mbowe imeamua kuwasamehe kina Mdee.
Hapana. Wewe ndiye una shida huko upstairs...

Bunge ndilo hutoa taarifa kwa Tume ya Uchaguzi kuwa kiti au viti vya majimbo fulani ya uchaguzi vipo wazi ili in return Tume ichukue hatua kuitisha uchaguzi..

Kwa upande wa viti maalumu ni hivyo hivyo. Spika anaipa taarifa TUME kuwa, viti maalum kadhaa vya chama fulani viko wazi kwa sababu hizi au zile..

Kisha Tume inakitaarifu chama husika ili kipeleke majina mengine. Baada ya Tume kupokea majina hayo itayathibitisha na kuwapa barua za uteuzi wahusika..

Mwisho majina ya walioteuliwa toka ktk chama husika yatapelekwa bungeni na tume yenyewe kwa ajili kiapo na kuanza kazi zao..

Pole sana. Maana ni wazi kuwa, kumbe wewe ndiye hujui lakini bahati mbaya unafikiri unajua wakati hujui...!
 
SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwba sasa awatoe bungeni.

Wamechemka tena.

Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi.

Salum Mwalimu aelekeze barua yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Spika hawezi kufanyia kazi barua ya Salum Mwalimu au ya John Mnyika halafu kesho kutwa ikaja barua ya Freeman Mbowe imeamua kuwasamehe kina Mdee.
Mtoa post na watu wengine wa namna yako jaribuni kukaa kimya kwanza kusubiri wanaojua mambo wacomment kwanza na hivyo kuficha ujinga wenu kwenye public. hivi unavyosema wamekosea kumpelekea spika barua eti wangeipeleke tume ya uchaguzi! nani alikwambia ile kesi iliyokua mahakamani ilikua inahusiana na uchaguzi? hii kesi ya akina Mdee ilikua inahusu uanachama wao ndani ya Chadema na ubunge wao kwisha! hapo tume inaingiaje? Tume inashughulikia maswala ya uchaguzi tu na wao watataarifiwa tu kuhusu kufutwa ubunge wa akina Mdee na ndipo itawaandikia Chadema kuhusu kuziba nafasi hizo kwa kuomba majina mengine na kisha kufanya uteuzi
 
SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwba sasa awatoe bungeni.

Wamechemka tena.

Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi.

Salum Mwalimu aelekeze barua yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Spika hawezi kufanyia kazi barua ya Salum Mwalimu au ya John Mnyika halafu kesho kutwa ikaja barua ya Freeman Mbowe imeamua kuwasamehe kina Mdee.
Wewe ni kilazza mwaminifu, huko bungeni wamepeleka copy, wameanzia tyme ya uchaguzi
 
Umesomea shule za kata? Soma sheria kwanza ujue takwa la kisheria kabla hujasema usichokijua.
Dah! Haya bwana ngoja tuendelee ichagua CCM, hamkuna namna maana mnatudharau sana tuliosoma shule za kata
 
Mwanasheria sio msemaji wa CHADEMA.

CHADEMA imetoa tamko kupitia Salum Mwalimu kwamba wamemweleza Spika matokeo ya hukumu hivyo awaondoe kina Mdee.

Spika haambiwi hata na mahakama nani mbunge nani sio mbunge.

Sembuse Salim Mwalimu.
Hukumu imeandkwa na nani? Spika Yuko juu ya Sheria/Katiba ya nchi? Ndio tunataka kuona safari hii.
 
Tundu Lissu alifukuzwa na parliamentary rules. Spika ndio arbiter wa parliamentary rules, kwa hiyo Spika akaiambia TUME,na TUME ikaitangazia dunia kwamba jimbo la Tundu Lissu liko wazi.

Mdee na wenzake wamefukuzwa na constitutional rules. CHADEMA inapaswa kuelekeza hoja zao za kikatiba kwa TUME, TUME itaitangazia nchi na Spika nani ni mbunge wapi kutoka chama gani kuanzia lini.
Ficha Ujinga wako toka lini Tume ya uchaguzi ikaitaarifu Bunge kuwa kuna viti vya ubunge vipo wazi wew kibwetele?
Tume inataarifiwa na Bunge kuwa kuna viti labda vya ubunge vipo wazi hivyo iaandae uchaguzi sio kazi ya tume kujua nani ni Mbunge na nani sio Mbunge.
 
SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwba sasa awatoe bungeni.

Wamechemka tena.

Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi.

Salum Mwalimu aelekeze barua yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Spika hawezi kufanyia kazi barua ya Salum Mwalimu au ya John Mnyika halafu kesho kutwa ikaja barua ya Freeman Mbowe imeamua kuwasamehe kina Mdee.

Kesi

IN THE HIGH COURT OF TANZANIA(MAIN REGISTRY)AT DAR ES SALAAM MISCELLANEOUS CAUSE NO. 16 OF 2022 HALIMA JAMES MDEE.............................................1st APPLICANT

GRACE VICTOR TENDEGA.......................................2nd APPLICANT

ESTHER NICHOLAUS MATIKO.................................3rd
APPLICANT

ESTER AMOS BULAYA.............................................4th APPLICANT

AGNESTA LAMBERT KAIZA.....................................5™ APPLICANT

ANATROPIA THEONEST..........................................6th APPLICANT

ASYA MWADINI MOHAMED....................................7™ APPLICANT

CECILIA DANIEL PARESSO.....................................8™ APPLICANT

CONCHESTA LEONCE RWAMLAZA...........................9th APPLICANT

FELISTER DEOGRATIUS NJAU..............................10th APPLICANT

HAWA S. MWAIFUNGA.........................................11th APPLICANT

JESCA DAVID KISHOA..........................................12™ APPLICANT

KUNTI YUSUPH MAJALA.......................................13™ APPLICANT

NAGHENJWA LIVINGSTONE KABOYOKA................14™ APPLICANT

NUSRAT SHAABAN HANJE....................................15™ APPLICANT

SALOME MAKAMBA..............................................16™ APPLICANT

SOPHIA HEBRON MWAKAGENDA..........................17™ APPLICANT

STELLA SIMON FIYAO..........................................18™ APPLICANT

TUNZA ISSA MALAPO...........................................19™
APPLICANT

VERSUS

THE BOARD OF TRUSTEES OF CHAMA CHADEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)...........1ST
RESPONDENT

THE NATIONAL ELECTION COMMISSION ...........2nd
RESPONDENT

THE ATTORNEY GENERAL.................................3rd RESPONDENT

RULING
13 & 22 June 2022
MGETTA, J

:On 12th May, 2022, this application for leave to apply for judicial review was brought by way of chamber summons supported by affidavits and accompanied with applicants' joint statement. The application is brought against the Board of Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (hereinafter referred interchangeably by its acronym as CHADEMA and or as the 1st respondent); the National Election Commission (hereinafter referred interchangeably by its acronym as NEC and or as the 2nd respondent); and, the Attorney General (the 3rd respondent). If leave is granted, the applicants intend to apply for prerogative orders of Certiorari and Mandamus against the whole process and decision passed on 11th May, 2022 by 1st respondent's General Council for allegedly expelling them from membership of CHADEMA.In reply, CHADEMA appeared through its advocates equipped with a set of seven preliminary objections challenging the application that was brought by the applicants. Thus, in this ruling, I have endeavored to determine them. For the sake of clarity, I would like to reproduce the seven preliminary objections as hereunder:

1. That the Application is time barred. It emanates from 1st Respondent's Central Committee's decision passed on 27/11/2020 which is more than 6 months, vide: Rule 6 of theLaw Reforms (Fatal Accidents and Miscellaneousprovisions) (Judicial Review Procedure and Fees) Rulesof 2014 (henceforth 2014 Rules).2. That this Court lacks jurisdiction in terms of Article 74 (12) ofthe Constitution of the United Republic of Tanzania as amended from time to time (henceforth the Constitution) to investigate NEC.3. That there is no valid Statement to support the application in terms of Rule 5 (2) (a) of 2014 Rules.4. That the affidavits are fatally defective for the following reasons🙁i) The verifications are defective as their contents thereof are not based wholly on belief contrary to Order XIX Rule 3 of the Civil Procedure Code,Cap 33 (henceforth Cap.33)

(ii) The affidavits are signed by applicants' Advocates; thereby defeating the requirement that they be deposed and signed by deponents only.5. That this Court lacks jurisdiction to hear this application against the 1st respondent because it is not a Public Body or Authority amenable to judicial review.6. That the application is frivolous, vexatious and an abuse of court process.7. That, the applicants have sued a nonexistent party namely "The Board of Trustees of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), instead of the statutory Registered Trustees of Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).When the application was called on for hearing of the raised preliminary objections, six learned advocates namely Mr. Aliko Mwamanenge, Edson Kilatu, Panya Ipilinga, Ferdinand Makole, Emanuel Ukashu and Matinde Waisaku appeared for all applicants; while, three learned advocates namely Peter Kibatala, Jeremia Mtobesya and Dickson Matata, appeared and represented the 1st respondent; and, the 2nd and 3rd respondents enjoyed a legal service of the Solicitor General, Mr. Gabriel ...READ MORE : Source : Halima James Mdee & Others vs Board of Trustee of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) & Others (Misc. Cause 16 of 2022) [2022] TZHC 10206 (22 June 2022); | Tanzlii
 
SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwba sasa awatoe bungeni.

Wamechemka tena.

Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi.

Salum Mwalimu aelekeze barua yake kwa Tume ya Uchaguzi.

Spika hawezi kufanyia kazi barua ya Salum Mwalimu au ya John Mnyika halafu kesho kutwa ikaja barua ya Freeman Mbowe imeamua kuwasamehe kina Mdee.
Chadema hawana kazi za kufanya kutafuta na hao kina dada watawachezwaha kqata mpaka maji Waite mmma haya kesi waliyofurahia wame wini kirahisi imerudi wakapambane sasa na Sheria maana hta Sheria chadema hawaji hawana wakili msomi huyo kibatala ni mhuni Fulani tu hao hawatoki bungeni mpaka 2015
 
Mwanasheria sio msemaji wa CHADEMA.

CHADEMA imetoa tamko kupitia Salum Mwalimu kwamba wamemweleza Spika matokeo ya hukumu hivyo awaondoe kina Mdee.

Spika haambiwi hata na mahakama nani mbunge nani sio mbunge.

Sembuse Salim Mwalimu.
Hukumu imeandkwa na nani? Spika Yuko juu ya Sheria/Katiba ya nchi? Ndio tunataka kuona safari hii.
Sasa kama Spika kasema anasubiri hukumu barua ya CHADEMA ni hukumu ????
Punguza papara itakusaidia.
 
Chadema hawana kazi za kufanya kutafuta na hao kina dada watawachezwaha kqata mpaka maji Waite mmma haya kesi waliyofurahia wame wini kirahisi imerudi wakapambane sasa na Sheria maana hta Sheria chadema hawaji hawana wakili msomi huyo kibatala ni mhuni Fulani tu hao hawatoki bungeni mpaka 2015
Ugua pole
 
Back
Top Bottom