Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kukurupuka si kuzuri, lengo la kupeleka hukumu lilikuwa ni kukazia tu kuwa uamuzi wao wa kuwafukuza uanachama uko palepale kwani ni sahihi, Chadema hawahusiki na ubunge wao ila wao hawawatambui hao 19 wanaoitwa wabunge wa Chadema.SALUM Mwalimu anatuambia wamepeleka barua kwa Spika kumweleza hukumu ya mahakama iliowapiga chini kina Mdee na kwba sasa awatoe bungeni.
Wamechemka tena.
Anaemtangazia Spika, na anaeitangazia nchi, nani ni mbunge wa wapi kutoka chama gani sio Salum Mwalimu bali ni Tume ya Taifa Uchaguzi.
Salum Mwalimu aelekeze barua yake kwa Tume ya Uchaguzi.
Spika hawezi kufanyia kazi barua ya Salum Mwalimu au ya John Mnyika halafu kesho kutwa ikaja barua ya Freeman Mbowe imeamua kuwasamehe kina Mdee.